Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

Hakuna Mwanaccm anayemuogopa wala kumcha Mungu, Hii ni kwa sababu wanadhani wamefanikiwa mno, Wao wanaamini wanaopaswa kumcha Mungu ni wale masikini wanaotafuta Mafanikio, kwa vile wao wanagawana mali za Nchi zilizotokana na mauzo ya Bandari na Rasilimali zingine hawaoni haja hiyo.

Tulia Ackson ni miongoni mwa Wanawake wa Tanzania wenye kiburi kilichopitiliza cha Madaraka na uzima, ngoja tuone mwisho wake
 
Huyu mama siku mkimpa nchi atakuwa mtu hatari kuliko hawa tunaowahisi ni hatari.
Naomba isitokee
 
Huyu ni tabia yake, alishawahi kushiriki igizo la kuzika jeneza lenye bendera ya chama kimoja cha upinzani na kuweka msalaba, nadhan huo Uzi umo humu, yeye akawa mgeni rasmi kwenye maziko yale.
 
Ile sura na roho unadhani vina mjua Mungu ..? Roho na sura yake aisee vina fanania
 
The level of Pride in this dark skined Arrogant woman is very higher,
NO One knows what tomorrow might bring,Tulia be humble,Power comes and goes but Humanity remains forever,
 
Huyu Binti ww suburi atakipata anachokitafuta soon.MUNGU usimchezee hata kidogo Wala kumfanyia mzaha hata kama umelewa Pombe Kali.
 

huyo hata angetwaliwa tu hana faida kwenye taifa. Ni makosa makubwa sana kuwapa wanawake madaraka ya kumtawala mwanaume. Ni uasi.
 
The level of Pride in this dark skined Arrogant woman is very higher,
NO One knows what tomorrow might bring,Tulia be humble,Power comes and goes but Humanity remains forever,
may ze Satan of hell snatch her
 
Inaonekana hujawajua CCM, kwao CCM ndio kila kitu kuliko neno la MUNGU!! Imagine kiongoz unatamka bila hofu eti MUNGU anapaswa amshukuru rais? Mara kiongoz anafananishwa na masihi? Hapo unategemea wana hofu ya MUNGU?
 
Yetu macho ameyataka mwenyewe, wachawi wana maisha yao na yeye inaonekana anaishi ulimwengu wa kichawi, sambamba na hilo nae Askofu Malasusa nae alisema kama ni kufa basi yeye asiwepo kwenye orodha ya watakaofuata, Malasusa nae ni Freemason, Mungu ataamua atakavyo na kwa hiari yake
 
Nia si kumtakia mabaya, nia ni kumwonyesha utukufu wa Mungu.
huyu anakosea kwa makusudi, ni mwasi katika ulimwengu wa roho. Soma habari za Himenayo na Iskanda wakati wa huduma ya mtume Paulo.

1 Timotheo 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ uwe mwenye imani na dhamiri njema, ambayo wengine wameisukumia mbali, wakaangamia kwa habari ya Imani.
²⁰ Katika hao wamo Himenayo na Iskanda, ambao nimempa Shetani watu hao, ili wafundishwe wasimtukane Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…