Kuna tafsiri nyingine siku hizi ya ulokole au?Tulia ni mlokole wa TAG
Hawezi kuwa Mkokole mtu katili vileTulia ni mlokole wa TAG
Uchaguzi wana uhakika watauona ila sisi wananchi pia cha moto tutakiona.Huo uchaguzi wanaotamani hadi kumwaga damu za wenzao wanaweza wasiuone!
Hakuna Mwanaccm anayemuogopa wala kumcha Mungu, Hii ni kwa sababu wanadhani wamefanikiwa mno, Wao wanaamini wanaopaswa kumcha Mungu ni wale masikini wanaotafuta Mafanikio, kwa vile wao wanagawana mali za Nchi zilizotokana na mauzo ya Bandari na Rasilimali zingine hawaoni haja hiyo.Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Atavuna anachopandaTulia kalewa mvunyo wa madaraka, anamkufuru hadi Mungu
Ile sura na roho unadhani vina mjua Mungu ..? Roho na sura yake aisee vina fananiaKwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Kumbe kana laanaHuyu ni tabia yake, alishawahi kushiriki igizo la kuzika jeneza lenye bendera ya chama kimoja cha upinzani na kuweka msalaba, nadhan huo Uzi umo humu, yeye akawa mgeni rasmi kwenye maziko yale.
Huyu Binti ww suburi atakipata anachokitafuta soon.MUNGU usimchezee hata kidogo Wala kumfanyia mzaha hata kama umelewa Pombe Kali.Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
may ze Satan of hell snatch herThe level of Pride in this dark skined Arrogant woman is very higher,
NO One knows what tomorrow might bring,Tulia be humble,Power comes and goes but Humanity remains forever,
watu tuliookoka hatuko hivyo, kamwe!Tulia ni mlokole wa TAG
na iwe hivyoHuo uchaguzi wanaotamani hadi kumwaga damu za wenzao wanaweza wasiuone!
Nia si kumtakia mabaya, nia ni kumwonyesha utukufu wa Mungu.huyo hata angetwaliwa tu hana faida kwenye taifa. Ni makosa makubwa sana kuwapa wanawake madaraka ya kumtawala mwanaume. Ni uasi.
Inaonekana hujawajua CCM, kwao CCM ndio kila kitu kuliko neno la MUNGU!! Imagine kiongoz unatamka bila hofu eti MUNGU anapaswa amshukuru rais? Mara kiongoz anafananishwa na masihi? Hapo unategemea wana hofu ya MUNGU?Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
huyu anakosea kwa makusudi, ni mwasi katika ulimwengu wa roho. Soma habari za Himenayo na Iskanda wakati wa huduma ya mtume Paulo.Nia si kumtakia mabaya, nia ni kumwonyesha utukufu wa Mungu.