Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umeandika jambo muhimu sana ndio maana Mungu huwapa pesa vijana umri ukiwa umesogea kidogo kuwaepusha na mambo kama haya...yani huyu kagari ka kubandika sticker na kubandua mbwembwe nyingi hadi anataka kujiua.....Mi najiambiaga kila mafanikio yanaendana na umri,ukiyapata umri usiostahili lazma yakuyumbishe.
Tunayaona haya mkuu hata huku mitaani kwetu.Hapa umeandika jambo muhimu sana ndio maana Mungu huwapa pesa vijana umri ukiwa umesogea kidogo kuwaepusha na mambo kama haya...yani huyu kagari ka kubandika sticker na kubandua mbwembwe nyingi hadi anataka kujiua.....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]***** Sasa tunapishana
Kwenye daladala wote
Karbu sana
Daaah maisha yanabadilikaView attachment 710678
Umofia Kwenu wana JF,
Imeniladhimu nimuandikie waraka mfupi ndugu yetu Tonny Aka Tbway360 ili watu walio karibu nae au yeye akipitia humu JF aweze kuusoma.Nimeshawahi kukutana na Huyu jamaa mara kadhaa,mara ya kwanza nilimuona maeneo ya Mlimani city akiwa anatoka NSSF kufatilia nadhani mafao yake,nilimuona mtu wa vurugu sana kwenye gari lakini nikaona bado kijana labda bado ana ushamba wa gari.
Mara ya Pili niliona Clip mtandaoni akikimbiza gari kwa speed ya ajabu kisha akakamata Hand-Brake gari ikarotate ikarudi ilipotoka na ilikuwa eneo la wazi kabisa barabarani maeneo ya ununio,nikaona huyu jamaa kumbe ndi0 hulka yake kukimbiza magari kwa speed za hatari >160km/hr tena maeneo ya mjini.
Mara ya tatu tena nilimuona live akiwa quality plaza katoka kwenye ATM kutoa pesa,alitoka na speed kubwa sana hadi nikashangaa inakuwaje anatoka na speed kubwa namna ile wakati mbele tu kama mita 20 kuna foleni? Nikagundua jamaa bado haijui gari vizuri,yes ni dereva lakini haijui gari vizuri,mtu anayeijua gari lazima ataiheshimu.
Kilichonituma niandike huu waraka ni kwamba Jana Tbway360 alikula mzinga wa hatari na gari kubilingika mara mbili,kwa mujibu wa maelezo yake eti anasema alikuwa speed ndogo tu akapushiwa na Suzuki aliyekuwa anaendesha mfanyakazi wa tigo ikamgusa ubavuni na kupelekea gari kubilingika mara mbili.Tbway anatufanya sisi watoto wadogo,gari kwenye speed ndogo uguswe tena na suzuki swift ubilingike mara mbili?
Dogo Tbway360 hiyo umegewa kama funzo,hiyo ni rasharasha tu,punguza sifa barabarani,kwa mtu anayefahamu gari hawezi kufanya ujinga wa kukimbiza gari kwa mispeed ya hovyo hovyo tu,next time hutopata hata muda wa kwenda TIGO HQ kuwatukana SGA....Haya sasa kama ulikuwa na bima kubwa fuatilia michoro ya ajali uende bima kama ulikuwa na 3rd party ugulia maumivu ya Legacy.
Ndinga Baada ya Kula Mzinga.
View attachment 710688
Gari yake kabla ya ajali.
View attachment 710689
VIDEO CLIP TBWAY360 ALIPOVAMIA TIGO HQ NA KUANZA KUWATUKANA SGA SECURITIES KWA TUHUMA ZA KUMFICHA MFANYAKAZI WA TIGO ALIYEIGONGA GARI YAKE.
Dogo anazingua sanaaaKi ukweli huwa anajiskia sana hata akiwa kwenye kipindi chake EATV huwa anaeka madoido mengi mpka inaboa
Umemaliza chuo wapi wewe huwezi hata kuandika ajali = ajari?[emoji3][emoji3] tbway ndio zake..kuna washkaji zangu nlimaliza nao chuo nae ni washkaji zake sana tu..wanajiita TeamTezza..wanafujo vibaya mno..na mmoja kati yao alipataga bonge la ajari kwa sifa hzohzo tulijua atakufa ..ila bado wanaendelea na michezo yao
Nimesahau etiUmemaliza chuo wapi wewe huwezi hata kuandika ajali = ajari?
Waweza nikumbusha labda?Umemaliza chuo wapi wewe huwezi hata kuandika ajali = ajari?
Tuweke Kumbukumbu Sawa ,Usije Kuedit hapo baadae.Kwan ww anakuhusu nin kila mtu na starehe zake....mtu akulishi, akusomeshi, akusaidii Kwa chochote bado unamashauri achana na upuuzi km hao...cha muhimu fata yako