Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Umekuwa huku, umekuwa kule:



Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu?

Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana.

Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe?

Nyerere alikuwa huyu:

Your browser is not able to display this video.


Mheshimiwa, kumbe wewe ukumbukwe kwa lipi?!

Tafakari.
 
Asali tamu ww
 
Kikwete is just a mob leader!
 
Endelea kuchimba magimbi mnamuogopa sio!!!! Mbona mzee John Cheo yupo kwenye Siasa Kikwete bado tunaitaji Uduma yake kwenye Taifa.
 
Wasipoangalia polepole atawastaafisha wengi.
 
Kwanza Kikwete ni mnafikia na tamaa haridhiki ndio ni maana amebaki kuwa mwana mtandao maarufuuu.

Wanamtandao wapo tayari kuua watu wapite hapo
 
ya Morocco Vs Tanzania na JK yana uhusiano gani?.
Hata tungemfunga Morocco ingekuwa miujiza tu, Vipi na ya Kenya nayo tunasemaje?.

Safarini Khartoum Sudan.
 
JK ni mtu muungwana sana maana kumbe Kwa hii miguvu mnayoisema humu angeweza kuwa hata kama M7 au PK, kuongoza milele na bado tungekuwa hatuna chakumfanya.

Sasa amehuduma 10yrs ameondoka na kuachia wengine lakini bado tunaye tu JK, JK, JK kila kukicha.

safarini Khartoum Sudan
 
Ashazoea huyo
Anastaafishwa tu hakuna namna
 
Kama ni muungwana kale naye chai
 

Nani kakwambia Morocco na sisi, hoja ni kushindwa? Kumbe hali tete ya umoja wetu kuelekea mechi hiyo hukuuona?

Kwani ni siri:



Kabla ya hilo wahuni tusijuane. Ninyi si watu wazuri!

Habari ndiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…