- Thread starter
- #41
Mapango yanawaka moto na nje yamapango kuna moshi mzito! alaaa
Kama nawaona wahuni, "uhunini" pale:
Mapango yanawaka moto na nje yamapango kuna moshi mzito! alaaa
Wasipoangalia polepole atawastaafisha wengi.
I wish huyu Mstaafu, yule Muhindi na Bi Mkubwa, na sisi sote tukumbuke kuwa haya maisha si lolote si chochote worth kwenda mbio na kufanya ufisadi na kuumiza wananchi. Maisha yetu ni mafupi sana. Bado kuna hesabu jamani huko tuendako. Haya mahangaiko yote ya kuumiza watu, kula vya watu (kodi za wananchi), mbona ni katika makatazo makubwa sana!! Mwisho wa siku mwisho huwa ni mbaya,! Mipango yao na matendo yao maovu ni kwa ajili ya ‘kufaidi’ miaka michache tu hii ya dunia?! Hivi wanaposema wanamuamini Mungu, huwa ni Mungu gani huyo?! Natamani wakumbuke hivi ili wajirudi.
Ameshindwa kustaafu ufisadi (wenye sida mbaya), ataweza kustaafu siasa inayompa mtu ujiko?
Kikwete ameapa kuwa hatapumzika hadi siku Ridhiwan Kikwete anapigiwa mizinga 21