Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

Hako Kalafi kameamua Kafe Kazikwe na dhambi zake zote!!

Hakajawahi kupewa Hekima ya Maisha baada ya Kifo. Hakajui kwamba hata 2030 katakuwa kalishatwaliwa siku nyingi
 
Hako Kalafi kameamua Kafe Kazikwe na dhambi zake zote!!

Hakajawahi kupewa Hekima ya Maisha baada ya Kifo. Hakajui kwamba hata 2030 katakuwa kalishatwaliwa siku nyingi

Ajue sasa, kwetu "kufungua chungu" ni muhimu mno kuliko lolote.

Ieleweke, hiyo ikiwemo mechi ya Morocco na sisi, achilia mbali hata kama ingekuwa kulichukua kombe lenyewe.

GENTA, Manyau Nyau na wale wengine, habari ndiyo hiyo.
 
Hajawahi kukanusha kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za wizi wa ESCROW na amewekeza Australia kupitia wanawe wakubwa.
 
Hajawahi kukanusha kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za wizi wa ESCROW na amewekeza Australia kupitia wanawe wakubwa.

Bila kusahau Richmond, Metameta na mazagazaga yote ya awamu ya tano.

"Mwisho wa reli alikuwa mwenyekiti wa CCM walipokuwa wakijimilikisha vyungu vya chaguzi kinyemela."

Heri angestaafu mwenyewe kwa kuwa sehemu ya jitihada za kufungua vyungu badala ya kustaafishwa.
 
Kama ni muungwana kale naye chai

hahahaha, tumekubaliana humu anamiguvu na ana uwezo wa kufanya yooote haya tunayosema, maana yake kumbe angeweza kuwa kama M7 au PK tu ila Kwa uungwana wake kaamua kuachia wengine.

Safarini Khartoum Sudani
 

Mzee meremeta fupa la Che Nkapa hilo + Liganga na nchuchuma.

Safarini Khartoum Sudani
 
Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!
Hivi JK alishawahi kukemea na kupinga utekaji na mauaji ya wananchi?
 
Mzee meremeta fupa la Che Nkapa hilo + Liganga na nchuchuma.

Safarini Khartoum Sudani

Mkuu wapi nimesema Meremeta au hata Liganga?

Kulikoni kutaka kutuondoa mkabala na wahuni.

Kwani wewe ni katika wahuni almaarufu kwa lile jina la Wana mtandao?

Msingi wa hoja:

Bila kufungua vyungu, tusameheane tu!
 
Kibwengo km ww ht mwehu huwezi kumshauri
 
Ukute hayo mambo yana baraka zake hata akaamua kuyakalia kimya

Alikuwa mwenyekiti wa CCM wakati ule wire wa Kipirimba anaosema Polepole ukiwekwa.

Hapa hakuna kurudi nyuma hadi wafungue chungu.
 
Hivi hafi tu?
 
Endelea kuchimba magimbi mnamuogopa sio!!!! Mbona mzee John Cheo yupo kwenye Siasa Kikwete bado tunaitaji Uduma yake kwenye Taifa.
Hivyo vijana wenu akina tilalila mnawapeleka mtaani au kwenye zile korido zenu wawe omba omba si
 
Endelea kuchimba magimbi mnamuogopa sio!!!! Mbona mzee John Cheo yupo kwenye Siasa Kikwete bado tunaitaji Uduma yake kwenye Taifa.

Umejiridhisha kuwa tangu Polepole apasue mbarika kama master halali na viatu daily?

Hivi hili la kufungua chungu hudhani kuwa hana amani tena mzee huyu?

Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!

Ukimbizini kama mlivyo wahuni si kuzuri ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…