Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

Ameshindwa kustaafu ufisadi (wenye sifa mbaya), ataweza kustaafu siasa inayompa mtu ujiko?
 
I wish huyu Mstaafu, yule Muhindi na Bi Mkubwa, na sisi sote tukumbuke kuwa haya maisha si lolote si chochote worth kwenda mbio na kufanya ufisadi na kuumiza wananchi. Maisha yetu ni mafupi sana. Bado kuna hesabu jamani huko tuendako. Haya mahangaiko yote ya kuumiza watu, kula vya watu (kodi za wananchi), mbona ni katika makatazo makubwa sana!! Mwisho wa siku mwisho huwa ni mbaya,! Mipango yao na matendo yao maovu ni kwa ajili ya ‘kufaidi’ miaka michache tu hii ya dunia?! Hivi wanaposema wanamuamini Mungu, huwa ni Mungu gani huyo?! Natamani wakumbuke hivi ili wajirudi.
 

Hawa watu enough is enough watuache tujadili mustakala wa taifa hili sasa. Kama kula wametosha.

NRNE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…