Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

Namkunjuga wife kisawa sawa kabla ya safari, baada ya hapo huwa kuna ka usingizi kananipia kakikata tu hako naliamsha dude nikiwa mwepesi hapo hata 24hrs naweza nisilale.. na hapo ndio huwa nawin trip za usiku.. unakuta tunapiga game mitaa ya jioni flani hivi, nikishtuka tu nakiwasha😂😂😂😂
 
Mimi hua nachomoka saa saba mchana Mwanza na ki-Starlet changu,mdogo mdogo mpaka napanda Misigiri pale tayali ni giza,naanza kukipuliza na saa tano za usiku nakua Arusha taratiiiiibu kama nilikuwepo.
Nikiona neno Misigiri namkumbuka shangazi pale wa misosi.. buku tano yako unajisevia makuku kama yote
 
Imenisaidia mara kadhaa. Ni kiasi cha kuwa serious tu; pia ikitegemeana na muonekano wako na usafiri unaotumia. Wengine tuna sura za kikauzu, ukisema kitu unaaminika mara moja.
muonekano nao muhimu, mchana nikiwa nakumua ndinga huwa napiga smart shati imenyooka, ruluwale imesimama na moko moja matataa 😂😂😂.. alafu hata sibabaiki na reflector yangu ya kikazi... wakinisimamisha, naanza jambo afandeeeeeee.... hadi anacheka japo siku huwa hazifanani
 
Hahahah una balaa sana chief
 
Kwahio unajipimiaga
Pale ndio mahala pa test, ukimaliza game ulale alafu uamke mwili unauma au kahasira flani hivi, inabidi utulie tu 😂😂😂😂.. ila kama ukashtuka tabasamuu furaha paka kwa moyo mwili umechangamka na damu inatembea vizuri.. hapo lianzishe tu 😎😎
 
Chapakaziii 🤓🤓🤓 mama lazma a appreciate kala kamsemo ka “Njoo nikuage!”
 
Ukishasema “jambo afandeee” ushakosea tayari - umekuwa umejidogolesha!
 
Usiku unatembea vyema tu, ila kama ni mtu wa usingizi sio salama, na hasa ukianza kuhisi kucnzia paki upumzike. Kuna ile hali ya kucnzia bila kujua, ni hatari sana hii. Hasa ukiwa kwenye mwendo yani kuchochora ni simple tu, ajari za usiku 90% ni usingizi.

Mimi nikichoka huwa naanza kucnzia, na tena sitajua nimecnzia saa ngapi, ukimya ukitawala tu na ucngizi huu hapa. Kuna madereva wengine wana tabia ya kusinzia huku anaendesha, yani anajua kabisa kwamba anacnzia ila anaweka gari kati ndo anaanza kusinzia sasa, hii ni hatari sana.
 
Pia usiku rami inakua imepoa so chances za pancha ni ndogo, magari machache Road na usumbufu wa trafiki nehi ila angalizo kama una poor night vision usifanye safari za usiku.
 
Mkuu mwezi wa 4 nilikua naenda Njombe na Luwinzo na nilikaa mbele kwa Konda..tulipofika Iyovi jamaa alikua anafuta kisahani kama kawa mwendo mchubuyu so mtoa mada yupo sahihi.
 
Mkuu mwezi wa 4 nilikua naenda Njombe na Luwinzo na nilikaa mbele kwa Konda..tulipofika Iyovi jamaa alikua anafuta kisahani kama kawa mwendo mchubuyu so mtoa mada yupo sahihi.
Si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…