Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sasa mbona wenye A wana maisha magumu na wenye F wana pesa mingi and likely? A au F siyo kipimo cha kuwa na akili.Binadamu sio sawa mzee
Ndio maana darasani kuna anaepata A na mwingine F
Ndio maana kwenye marathon race kuna wa kwanza na wa mwisho
Ndio maana kuna wenye talent na wasio na talent
Sekta binafsi inajua namna ya kutafuta,kuajiri ,kulipa na ku-retain talent more than public sector...thats a FACT!
Ndio maana serikalini wapo wengine waliopaataga F shule!
Hutaki andamana mpaka miguu ichubuke!
Hatuhitaji kufahamu hapa nani anajua dhahabu nani hajui . hapa ungejibu hoja iliyopo mezani hapa je tunahitaji dhahabu kama nchi kukabiliana na dhoruba za uchumi wa dunia kwa sasa? Au kama mambo yamekuzidi uwezo usilazimishe kuonekana unaweza kukaa kimya tu ujinga si kosa.Maskini hata dhahabu huijui
Wewe ndio mjinga hujui hayo mataifa makubwa yote unayosikia marekani na wenzake wanaweka dhahabu nyingi kama alternative ya currencies sababu wanajua thamani yake ni endelevu.Mawazo ya enzi za ujima na mercantilism
MkuuSasa mbona wenye A wana maisha magumu na wenye F wana pesa mingi and likely? A au F siyo kipimo cha kuwa na akili.
Hatukushangai ni ujinga tu unakusumbuwa. BOT haitogeuka kampuni bali anasimama kama custodian wa mali za watanzania tu na kwa kuwa wao kama miongoni mwa regulators wa mambo ya uchumi wataweza kustablize mambo yanapokua magumu kama hivi sasa.Maana yake BOT igeuke kampuni ya kuchuuza dhahabu?? We uliskia wapi? Huko shule mlisomea ujinga au???
Kwanza mimi sisemi kuwa wazo lako ni baya au zuri...Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa masharti yetu. Uchumi tunao tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Niliwahi kuanza kundika hivi:
- Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake
Nunuwa ni lugha gani? Au unamaanisha nunua? Wewe kweli ni mtanzania? Mtanzania gani ambaye ameenda shule, hajui hata Kiswahili?Unajuwa maana ya wanunue na wauze wao?
Kama ulikuwa huelewi hiyo ndiyo maana ya Biashara.
Bia = uza, shara = nunuwa.
Kwa Kiarabu rasmi kabisa, ambacho ndipo Kiswahili kiliilipata neno hilo.
Usiumize kichwa chako mkuu..kuna watu wanakulupuka kuchangia na hawajui hata lengo la hii mada.Hatukushangai ni ujinga tu unakusumbuwa. BOT haitogeuka kampuni bali anasimama kama custodian wa mali za watanzania tu na kwa kuwa wao kama miongoni mwa regulators wa mambo ya uchumi wataweza kustablize mambo yanapokua magumu kama hivi sasa.
Na unajiita sir .dhahabu hapa nchini hatabasilimia 10 haiwezi finance exports payments haitoki kiivo.sababu kikwete aliiingi mikatBa ka huu wa dpw .kule kama wakivun helicopter inachukua liveHatuhitaji kufahamu hapa nani anajua dhahabu nani hajui . hapa ungejibu hoja iliyopo mezani hapa je tunahitaji dhahabu kama nchi kukabiliana na dhoruba za uchumi wa dunia kwa sasa? Au kama mambo yamekuzidi uwezo usilazimishe kuonekana unaweza kukaa kimya tu ujinga si kosa.
Mzee ulipotea sana enzi ya jiwe 2017 umerudi tenaUna malaria
dhahabu yangu nimechimba kwa nguvu zangu,unanilazimisha nikuuzie wewe kwa lazima kwa bei unayotaka wewe?
lazima ukae kwenye market kama wengine na kama unatoa offer nzuri ndio nikuuzie
hiyo inaitwa state robbery
cha ajabu kuleta udikteta huo hakuna mtu atachimba,watakuachia wewe bwana serikali uchimbe mwenyewe kitu ambacho huwezi na huna hela wala utaalamu wa kuchimba
pili utaleta black market ya ajabu,wanachi watachimba kwa wizi na watauza kwa wizi hata hicho kidogo cha kodi HUPATI
ungejua serikali ni organization iliyo limited sana wala usiongelee hapa
serikali ukisema USICHIMBE haimaanishi watu hawatachimba,WATACHIMBA penda usipende na watauza nje na kodi hupati...huna jeshi la kushika wote na kusimamia migodi yote wewe!
Serikali ni takataka sana
na wanasiasa wanaoingia serikali ni takataka zaidi kama ulivyo wewe hapo.....how can u regulate biashara kijinga hivyo?
mlipiga marufuku madawa ya kulevya,mmefunga wangapi na mtaani yapo mangapi na bado biashara ipo haitakaa iishe hata mkate vichwa wananchi wote,nothing you can do!
Hawa sijui wanatuonaje watanzaniaKikwete hahahahahah stop comedy
Nakupenda sana ester bulaya aka ChawaWaMamaKIBU DEE MTOMBANGILE ….la … yako. Kwanini ume dislike post yangu?
Kilaza sana halafu anatumia neno sirMaskini hata dhahabu huijui
Ameita vito hahahahaKilaza sana halafu anatumia neno sir
Hujui hata unaloongea mikataba ya uchimbaji wa dhahabu aliyeanza kubinafsisha alikua Benjamin Mkapa, nyerere yeye aliwakuta Williamson kwenye almasi mwadui na wakaendelea mpaka leo . Kikwete hakuna mkataba wa madini aliyouanzisha hata mmoja.Na unajiita sir .dhahabu hapa nchini hatabasilimia 10 haiwezi finance exports payments haitoki kiivo.sababu kikwete aliiingi mikatBa ka huu wa dpw .kule kama wakivun helicopter inachukua live
Lengo langu nikukueleza kuwa mafanikio siyo lazima uwe na A darasaniMkuu
Watu hawaendi shule kufanya kikao cha kuchagua nani awe tajiri na nani awe masikini
Tunaenda shule kupanua uelewa wa jambo fulani
Umasikini na utajiri ni juhudi za kila mmoja binafsi
Japo kwa statistics elimu inakusaidia kukupa nyenzo za kukusaidia kufanya uzalishaji kwa njia rahisi zaidi.
Nyenzo kama nyenzo inaweza ikusaidie au isikusaidie kutokana na mtu mwenyewe,kama hajui kuitumia ni jambo jingine
Kua na nyenzo ni tofauti na jinsi ya kuitumia nyenzo ile kukusaidia kazi zako
Hivyo hoja yako inakua haina maana kuhusanisha utajiri na shule
Ayaa buzwag jeHujui hata unaloongea mikataba ya uchimbaji wa dhahabu aliyeanza kubinafsisha alikua Benjamin Mkapa, nyerere yeye aliwakuta Williamson kwenye almasi mwadui na wakaendelea mpaka leo . Kikwete hakuna mkataba wa madini aliyouanzisha hata mmoja.
Katiba siyo muarobaini wa matatizo ya watanzania. Inapaswa viongozi wetu waliopo sasa kubadili mindset zao na kuelewa tunataka nini. Wakati rais magufuli anatawala naweza kusema ni miongoni mwa marais waliovunja katiba waziwazi na hakuna kitu alifanywa. Katiba inaweza kubadilishwa lakini utashi wa kiongozi aliyepo madarakani ukakataa kufuata katiba utamfanyaje?Kwanza mimi sisemi kuwa wazo lako ni baya au zuri...
Lakini nasema na uelewa kuwa, hii ndiyo sababu watu wanapigania "mwafaka wa kitaifa" au uwepo wa katiba mpya na bora ya wananchi inayowaelekeza waliopewa dhamana ya uongozi watendeje katika mambo muhimu na ya msingi ya taifa na nchi yetu..
Maamuzi au mawazo mazuri si ya kutolewa na kiongozi mmoja tu kwa sababu ana mamlaka ya kutamka hivyo sasa kupitia mdomo wake halafu tutegemee mwendelezo kwa atayekuja badala yake..
Nina maana kuwa, wazo lako hili (kama likiwa zuri) laweza kuchukuliwa na "mwenye mamlaka wa sasa". Akatamka tu na likaanza kufanyiwa kazi...
Lakini vipi akifa huyu (kama alivyokufa Magufuli na kufa na sera yake ya mdomoni ya - TANZANIA YA VIWANDA)?
Vipi akiondoka (kama Kikwete alivyoondoka na sera zake za mdomoni za KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW (BRN)?
Vipi unadhani yataendelezwa na yule ajaye au naye atawasikiliza wengine na kuja na utaratibu wake?
Kama nchi na taifa tukae chini na tukubaliane namna ya kwenda mbele. Na bila shaka huu ushauri wako utauwasilisha huko na ukifaa na kukubalika utakuwa documented ktk katiba ya wananchi...
Vipi hapo?
Barakoa oyeeeee...