Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
May day may day! Eagle one is downWe need immediate evac we are about to lose another Soldier ... Alpha one do you copy...alpha alpha..
Ushauri dhaifu huu usiufuate mleta mada.Badili dini,oa,mzalishe halafu rudi kwenye dini yako pamoja naye.
Uzuri uislamu hauna mambo mengi,unasilimishwa na kuoa papo kwa papo bila hata mafundisho.
AnampotezaUshauri dhaifu huu usiufuate mleta mada.
Uongo mtupu.Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli.
Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake.
Binti tulishakubaliana tufunge ndoa ya kiserikali (bomani) ili kuondoa huo mkanganyilo wa dini lakini mzee wake hataki.
Nahitaji ushauri wenu wa namna yakutatua hii changamoto.
Nakazia HapaHapo piga mimba chapu hlf potea.
Watakutafuta wenyewe uende kuufata mzigo wako.