Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

Do you believe in God, kama ndiyo muombe Mungu akupe jibu hapo juu hakuna Hata jibu moja linalokufaa.
Kwa yaliyo semwa kama hujaona jibu, basi hakuna jibu.

MUNGU huja na majibu hayahaya yaliyopo, isifikri kuna jibu la kimiujiza mno litakuwepo.
 
Kwanza ni uzembe kueleza hadharani kuwa mmeshibana na mwanamke na hapo hapo unatueleza kuwa anamsikiliza baba yake.
Acha kupenda kiboya.Ukristo upo wazi sana, wanaume wapendeni wake zenu na wanawake watiini waume zenu.Huyo mke mtarajiwa hana utii, piga chini.
 
Hicho kitu Ni kidogo sana,Mm enz zangu way back 2013 , nilimpata bint wa kipemba,It was same story like you.mzee wake alikomaa nibadili dini tena nilipoenda kumchumbia alimtaarisha na shekh wa wilaya kabisa ili anislimishe,nlikataa ila bahati mbaya mchumba alikuwa na ujauzito, baada ya kushindwa kunislimisha sikurud Tena Hadi leo lakin Hadi sasa bint nipo nae na mtoto yupo class 2, hivo Kama utaweza piga mimba ukishindwa tafuta mwanamke mwingine, OVER.
Kwaio vipi mtoto wako anaitwa Yusrat au Juma? Vipi hafundishwi juzuu ukiwa upo mzigoni?
 
Ushauri dhaifu huu usiufuate mleta mada.
Bora umemwambia ukweli , akiingia huko kutoka ni kifo

"Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
 
Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli.

Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake.

Binti tulishakubaliana tufunge ndoa ya kiserikali (bomani) ili kuondoa huo mkanganyilo wa dini lakini mzee wake hataki.

Nahitaji ushauri wenu wa namna yakutatua hii changamoto.
Badili wewe Dini kwani shilingi ngapi bana!!
 
Back
Top Bottom