Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Kwa yaliyo semwa kama hujaona jibu, basi hakuna jibu.Do you believe in God, kama ndiyo muombe Mungu akupe jibu hapo juu hakuna Hata jibu moja linalokufaa.
Kwa hiyo unamaoni gan??kwa upande wangu mim ni mshindiWala sio kitu cha kujisifia hiki
Kwaio vipi mtoto wako anaitwa Yusrat au Juma? Vipi hafundishwi juzuu ukiwa upo mzigoni?Hicho kitu Ni kidogo sana,Mm enz zangu way back 2013 , nilimpata bint wa kipemba,It was same story like you.mzee wake alikomaa nibadili dini tena nilipoenda kumchumbia alimtaarisha na shekh wa wilaya kabisa ili anislimishe,nlikataa ila bahati mbaya mchumba alikuwa na ujauzito, baada ya kushindwa kunislimisha sikurud Tena Hadi leo lakin Hadi sasa bint nipo nae na mtoto yupo class 2, hivo Kama utaweza piga mimba ukishindwa tafuta mwanamke mwingine, OVER.
Bora umemwambia ukweli , akiingia huko kutoka ni kifoUshauri dhaifu huu usiufuate mleta mada.
Ok.Bora umemwambia ukweli , akiingia huko kutoka ni kifo
"Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
Badili wewe Dini kwani shilingi ngapi bana!!Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli.
Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake.
Binti tulishakubaliana tufunge ndoa ya kiserikali (bomani) ili kuondoa huo mkanganyilo wa dini lakini mzee wake hataki.
Nahitaji ushauri wenu wa namna yakutatua hii changamoto.