Sio umechukuliwa na vyama vingine, sema ccm wamerukia ili waonekane wao ndio wa kwanza kutekeleza, wakati hawajawahi kutamka ukomo popote wa viti maalum.Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani.
Leo hii CCM katika kikao chao pia wamefikiria suala hili na kutoa uamuzi kuwa kuanzia mwaka 2030 uongozi katika Chama chao kutakuwa na ukomo. Hili ni jambo la kupongeza sana na hii itaonyesha kuwa kuwa uongozi siyo ya kifamilia. Kuna watu wamekaa pale sasa yapata miaka 25 na sasa lazima tuwe na usawa.
Hongereni sana CCM kwa uamuzi mzuri mlioufanya.
wachukue na hii Kauli MbiuBado no reform no election.
Chariry begins at home kwa nini Lisu hakuyafanyia kazi hayo mawazo yake kwenye chama chake mara baada ya kushika cheo cha uenyekiti Chadema ? Maana hicho cheo chake cha uenyekiti kwenye katiba ya Chadema hakina ukomoUshauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani.
Leo hii CCM katika kikao chao pia wamefikiria suala hili na kutoa uamuzi kuwa kuanzia mwaka 2030 uongozi katika Chama chao kutakuwa na ukomo. Hili ni jambo la kupongeza sana na hii itaonyesha kuwa kuwa uongozi siyo ya kifamilia. Kuna watu wamekaa pale sasa yapata miaka 25 na sasa lazima tuwe na usawa.
Hongereni sana CCM kwa uamuzi mzuri mlioufanya.
CCM chama cha vitendo Chadema na Lisu wenu chama cha manenoSio umechukuliwa na vyama vingine, sema ccm wamerukia ili waonekane wao ndio wa kwanza kutekeleza, wakati hawajawahi kutamka ukomo popote wa viti maalum.
CCM chama cha vitendo Chadema na Lisu wenu chama cha maneno
Lisu mwenyewe kwenye kampeni zake za kumtoa Mbowe uenyekiti alisema kuwa anataka uenyekiti Chadema taifa uwe na ukomo tofauti na sasa ambapo katiba ya Chadema inasema hakuna ukomoCCM ni wataalam wa kuiba mawazo ya wengine na kuyafanya ya kwao. Wangekuwa chuo, professor wao angewapa SAP kwa plagiarism ya kuiba mitahani - kwa ku- copy and ku-paste bila ku- acknowledge the source.
ni mawazo mazuri, hakuna ubishi, waendelee kukopi pia Tume Huru na Katiba bora.. tusonge kama taifa.. nchi hii ni yetu sote na tunahitaji kusikilizana , sio ku- monopolise mawazo. Nakubariana na wewe 100%Kwamba mlitaka ccm wasifate kitu kwasababu wapinzani waliwahi sema au kufanya.
Hamuoni hayo ni maonp mazuri kama chama tawala kimeweza kufanya kitu kama hiko. Hamuoni kwamba katika vitu mnavyotamani chama tawala pia kinafanya. Si nyie huwa mnaita ccm hakuna democracy, utawala wa kifamilia, wana mabavu sasa.mlitaka kuendelea kukiita hivo pasi na shaka?
Ukishakuwa nyumbu tu basi huwa unawaza kupigana au kugombana muda woteKwamba mlitaka ccm wasifate kitu kwasababu wapinzani waliwahi sema au kufanya.
Hamuoni hayo ni maonp mazuri kama chama tawala kimeweza kufanya kitu kama hiko. Hamuoni kwamba katika vitu mnavyotamani chama tawala pia kinafanya. Si nyie huwa mnaita ccm hakuna democracy, utawala wa kifamilia, wana mabavu sasa.mlitaka kuendelea kukiita hivo pasi na shaka?
Inshallah tutafika huko. Ni muda tu.ni mawazo mazuri, hakuna ubishi, waendelee kukopi pia Tume Huru na Katiba bora.. tusonge kama taifa.. nchi hii ni yetu sote na tunahitaji kusikilizana , sio ku- monopolise mawazo. Nakubariana na wewe 100%
Ukishakuwa nyumbu tu basi huwa unawaza kupigana au kugombana muda wote
Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni TUNU ya TaifaNdo mana nawaonaga wapumbavu sana watu wanaotakaga CHADEMA ife.
Uhai wa CHADEMA ni suala la muhimu sana kwa mustakabali mwema wa Taifa hili kwa miaka mingi sana.
Sasa fikiria mawazo yao ndo yanaibwa na watu wanaotawala sasa ingekuwaje wao ndo wangekuwa wanatawala Tanzania hii? Tungefika wapi kimaendeleo?
Maendeleo yanakuja kwa ukomo wa uongozi?Niliwahi kusema mapema humu jamiiforums kwamba "Tundu Antipas Lissu ndiye m'beba maono ya Tanzania kwa nyakati hizi za sasa."
Kwa hiyo sishangai kuona ccm wakiiba ideas za mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu.
Ccm chama cha vitendo ama chama cha majizi? Mlisubiri hadi Lisu aseme ndio muamke?CCM chama cha vitendo Chadema na Lisu wenu chama cha maneno
La yeye Lisu kusema abataka ukomo wa uenyekiti Chadema hilo.wazo Lisu alilitoa wapi kama sio CCM? Na likamsaidia kumtoa MboweCcm chama cha vitendo ama chama cha majizi? Mlisubiri hadi Lisu aseme ndio muamke?