Ushauri wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyamavingine

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani.

Leo hii CCM katika kikao chao pia wamefikiria suala hili na kutoa uamuzi kuwa kuanzia mwaka 2030 uongozi katika Chama chao kutakuwa na ukomo. Hili ni jambo la kupongeza sana na hii itaonyesha kuwa kuwa uongozi siyo ya kifamilia. Kuna watu wamekaa pale sasa yapata miaka 25 na sasa lazima tuwe na usawa.

Hongereni sana CCM kwa uamuzi mzuri mlioufanya.
 
Sio umechukuliwa na vyama vingine, sema ccm wamerukia ili waonekane wao ndio wa kwanza kutekeleza, wakati hawajawahi kutamka ukomo popote wa viti maalum.
 
Chariry begins at home kwa nini Lisu hakuyafanyia kazi hayo mawazo yake kwenye chama chake mara baada ya kushika cheo cha uenyekiti Chadema ? Maana hicho cheo chake cha uenyekiti kwenye katiba ya Chadema hakina ukomo

Na yeye ruksa ku copy kutoka CCM kuweka ukomo wa cheo cha Mwenyekiti Chadema taifa alichonacho yeye

Ruksa aige CCM kwa hilo

Hana haja ya kutuomba ridhaa
 
Sio umechukuliwa na vyama vingine, sema ccm wamerukia ili waonekane wao ndio wa kwanza kutekeleza, wakati hawajawahi kutamka ukomo popote wa viti maalum.
CCM chama cha vitendo Chadema na Lisu wenu chama cha maneno
 
CCM ni wataalam wa kuiba mawazo ya wengine na kuyafanya ya kwao. Wangekuwa chuo, professor wao angewapa SAP kwa plagiarism ya kuiba mitahani - kwa ku- copy and ku-paste bila ku- acknowledge the source.
 
Naona mama alikua makini kabisa kusikiliza ile lecture ya kitaifa ya kuombea kura, sasa keshaanza kudesa, Simba hana roho mbaya na ana uzalendo wa hali ya juu kwa taifa hili, wanakaribishwa kukopi vingine na hasa "no reform no election" hata wakitaka "tone tone" wadese tu
 
CCM ni wataalam wa kuiba mawazo ya wengine na kuyafanya ya kwao. Wangekuwa chuo, professor wao angewapa SAP kwa plagiarism ya kuiba mitahani - kwa ku- copy and ku-paste bila ku- acknowledge the source.
Lisu mwenyewe kwenye kampeni zake za kumtoa Mbowe uenyekiti alisema kuwa anataka uenyekiti Chadema taifa uwe na ukomo tofauti na sasa ambapo katiba ya Chadema inasema hakuna ukomo

CCM uenyekiti taifa una ukomo mbona haku acknowledge source kuwa anaiga kama ilivyo CCM ?

Anyway mawazo ya kisiasa hayana copyright kama dissertation za vyuoni

Mwambieni a copy tu hilo la CCM kuwa uenyekiti wa Chadema taifa utakuwa na ukomo

A copy tu hatutapiga yowe wana CCM kuwa ka paste na ku copy kwetu CCM kuweka ukomo wa cheo cha Mwenyekiti Chadema Taifa kama nyie akili nusu kaputi kuwa ooh kuna paste and copy

Sisi tutapiga makofi tu kuwa hatimaye Chadema somo limewaingia.Kuwa uenyekiti usio na ukomo sio sawa
 
Kwamba mlitaka ccm wasifate kitu kwasababu wapinzani waliwahi sema au kufanya.
Hamuoni hayo ni maonp mazuri kama chama tawala kimeweza kufanya kitu kama hiko. Hamuoni kwamba katika vitu mnavyotamani chama tawala pia kinafanya. Si nyie huwa mnaita ccm hakuna democracy, utawala wa kifamilia, wana mabavu sasa.mlitaka kuendelea kukiita hivo pasi na shaka?
 
ni mawazo mazuri, hakuna ubishi, waendelee kukopi pia Tume Huru na Katiba bora.. tusonge kama taifa.. nchi hii ni yetu sote na tunahitaji kusikilizana , sio ku- monopolise mawazo. Nakubariana na wewe 100%
 
Ukishakuwa nyumbu tu basi huwa unawaza kupigana au kugombana muda wote
 
ni mawazo mazuri, hakuna ubishi, waendelee kukopi pia Tume Huru na Katiba bora.. tusonge kama taifa.. nchi hii ni yetu sote na tunahitaji kusikilizana , sio ku- monopolise mawazo. Nakubariana na wewe 100%
Inshallah tutafika huko. Ni muda tu.
 
Niliwahi kusema mapema humu jamiiforums kwamba "Tundu Antipas Lissu ndiye m'beba maono ya Tanzania kwa nyakati hizi za sasa."

Kwa hiyo sishangai kuona ccm wakiiba ideas za mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu.
 
Ndo mana nawaonaga wapumbavu sana watu wanaotakaga CHADEMA ife.

Uhai wa CHADEMA ni suala la muhimu sana kwa mustakabali mwema wa Taifa hili kwa miaka mingi sana.

Sasa fikiria mawazo yao ndo yanaibwa na watu wanaotawala sasa ingekuwaje wao ndo wangekuwa wanatawala Tanzania hii? Tungefika wapi kimaendeleo?
 
Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni TUNU ya Taifa
 
Niliwahi kusema mapema humu jamiiforums kwamba "Tundu Antipas Lissu ndiye m'beba maono ya Tanzania kwa nyakati hizi za sasa."

Kwa hiyo sishangai kuona ccm wakiiba ideas za mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu.
Maendeleo yanakuja kwa ukomo wa uongozi?

Raisi wa China chama tawala cha China kilipitisha azimio kuwa raisi aliyeporukda kutawala china hadi mwenyewe siku akiamua kutoka kwa jinsi ambavyo china kaipaisha kimaendeleo

Uchaguzi ukifika China wanafanya wa wabunge na madiwani tu sio wa Raisi japo katiba inatamka kuwa raisi atachaguliwa kila uchaguzi mkuu ukifika

Katiba wameacha isomeke hivyo hivyo na mambo ya tume ya uchaguzi yasomeke hivyo hivyo yakivyo ila raisi aliyepo sasa hilo. a katiba na tume ya uchaguzi hayamhusu chama tawala kilishaamua na wananchi wanamkubali uwezo wake

Kwao China katiba ni kikaratasi tu kwenye hilo la uchaguzi wa Raisi
 
Ccm chama cha vitendo ama chama cha majizi? Mlisubiri hadi Lisu aseme ndio muamke?
La yeye Lisu kusema abataka ukomo wa uenyekiti Chadema hilo.wazo Lisu alilitoa wapi kama sio CCM? Na likamsaidia kumtoa Mbowe
 
Back
Top Bottom