Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani.
Leo hii CCM katika kikao chao pia wamefikiria suala hili na kutoa uamuzi kuwa kuanzia mwaka 2030 uongozi katika Chama chao kutakuwa na ukomo. Hili ni jambo la kupongeza sana na hii itaonyesha kuwa kuwa uongozi siyo ya kifamilia. Kuna watu wamekaa pale sasa yapata miaka 25 na sasa lazima tuwe na usawa.
Hongereni sana CCM kwa uamuzi mzuri mlioufanya.