Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii, sasa na wanaume tulivo ukiwa na Wadada 3 wa hivyo muda si mrefu, utafilisika hadi utaishia kuomba kipande cha mkate.
Huu ushauri sio kwa Kila mtu, ila Mwanaume ukiona vipi, Mtu ukibanwa sana na hitaji la ngono, Unaenda kona baa u pay, and leave, Maana hakuna tofauti kati ya wadada wanaojiuza barabarani na hawa Wadada wa mtaani, Maana karibia wote wanajiuza Na karibia wote wanakupendea hela, wanaojiuza barabarani wako cheaper.
Mtaani unaacha kabisa kushobokea wadada, na kuwatongoza, the only time mwanaume unatakiwa utongoze ni pale unapojiridhisha kua huyu mdada anahitaji nimridhishe kingono. Coz amekutega.
Angalizo: UKIMWI upo tumia condom, kwa wale wafia dini wanaosema ukilala na makahaba unajiletea mikosi, hata hawa mademu wa mtaa Tunaosex nao, pia wana mikosi, ikishindikana vyote kaa kwa password.