cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Dea mie sitaki jaman [emoji23][emoji23][emoji23]Yaan jf imekuwa sijui mahakama?
Mambo yanafanyika mtaani jitu linafungua uzi humu mbio, as if likitangaza humu tutakufa[emoji57][emoji57]
Mwanaume anayejifungilisha mauzi humu namuona kama Ke tu
Afu ukute huyo anayemzungumzia hata JF haijui khaaah.