Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii, sasa na wanaume tulivo ukiwa na Wadada 3 wa hivyo muda si mrefu, utafilisika hadi utaishia kuomba kipande cha mkate.

Huu ushauri sio kwa Kila mtu, ila Mwanaume ukiona vipi, Mtu ukibanwa sana na hitaji la ngono, Unaenda kona baa u pay, and leave, Maana hakuna tofauti kati ya wadada wanaojiuza barabarani na hawa Wadada wa mtaani, Maana karibia wote wanajiuza Na karibia wote wanakupendea hela, wanaojiuza barabarani wako cheaper.

Mtaani unaacha kabisa kushobokea wadada, na kuwatongoza, the only time mwanaume unatakiwa utongoze ni pale unapojiridhisha kua huyu mdada anahitaji nimridhishe kingono. Coz amekutega.

Angalizo: UKIMWI upo tumia condom, kwa wale wafia dini wanaosema ukilala na makahaba unajiletea mikosi, hata hawa mademu wa mtaa Tunaosex nao, pia wana mikosi, ikishindikana vyote kaa kwa password.
Dawa ya wanawake wadangaji ni pale anapokupiga mzinga unamuacha na kumblock pale pale wala usimpe mda wa kupumua na kukuletea mzigo wake wa matatizo. Kumbuka madeni aliyonayo kajipa mwenyewe kwa faida yake, akushirikishe wewe kama nani? Pia ukumbuke, licha ya wewe, kuna midume mingine 9 inamsugua, kama asingekupata wewe angeenda kuomba hizo hela wapi? Nakushauri, kama utapata demu dizaini hii mpige vichwa na magumi umshikishe adabu.
 
Huwa sitongozi ila mzigo nakula. Miaka hii watu tulishaacha kutongoza ukishachukua namba na kumualika outing basi imeisha hiyo.
Sasa hiyo namba huwa unaibandika ndani,.si.unaanza kuwasiliana naye? Au kutongozs nikufanyaje na kuchukua namba unapata mzigo?
 
Ukiwa kwenye mahusiano , tayari uko na 'muuzaji' , ni vile tu utoaji wa pesa uko tofauti

Kwenye mahusiano: leo utatoa 30k, kesho 15k, kesho 40k, akifikisha 100-150k sasa ndiyo anakupa 'uchi'

Nini kifanyike: njoo chaputa
Nakubali mwenyekiti
 
Back
Top Bottom