Mancobra
Member
- May 31, 2021
- 54
- 95
Mkuu, Fanya unachoona kina ahueni....kuna time unaweza pata demu akawa haleti pigo za kukufanya bank mpk machangu unawasahau....lakn kuna nyakat za mashaka unakutana na akina amina ndara ndefu wanaanza kukufanya bank, sasa hapa unacompare hela ya kumpa changu inazid ya kumpa huyu amina ndara ndefu?, Kama kwa changudoa unatumia hela ndogo Bora umalize shida zako Huko...kwa ufupi Ni kwamba, Kama mwanaume Ni kucheza kotekote ( kwa girlfriend na kwa changudoa) kikubwa ni kua Makin.