Ushauri wangu juu na namna ya kujiengua hapa tulipo kama Vijana

Gen Z wazo hili ni sawa?, kuna namna nyingine nzuri ya kuendeleza taifa letu?

  • Bei ya vyakula ishuke, kwa serikali kuwapa nafasi vijana kwenye kilimo cha kati na kisasa

    Votes: 3 33.3%
  • Vijana wapewe mitaji na mikopo kama awali kupitia vikundi vya mtaani

    Votes: 5 55.6%
  • Vijana wasome kisha kupata kazi kupitia serikali na ofisi binafsi

    Votes: 1 11.1%

  • Total voters
    9

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2018
Posts
2,174
Reaction score
2,265
Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana)

Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani siku ya 29 october ni kutokana na kuona hawana cha kupoteza, vijana hawa walikuwa na chuki, na hii chuki ni baina ya wasio kuwa nacho na waliokuwa nacho ndio maana yalitokea tusio yapenda kwa pande zote mbili

Vijana waliopoteza maisha asilimia ndogo sana ndio walikuwa na upeo wa sheria na katiba ya nchi, na hata kujua vifungu vyake, wengi wao walifanya vile kutokana na kukataa tamaa juu maisha n ahata kudhani wapo wanao fanya wao wawe katika hali za umaskini. Na kwa bahati mbaya huenda wale ni thelusi kati ya nzima walio bakia katika nadharia hiyo.

Sasa nini kifanyike Mheshimiwa tunafikaje?

Uzuri kwa upande wako ni muumini wa kilimo na unapenda matokeo yanayo tokana na mazao.

Kwanza vijana lazima waelewe

Technologia ya kuajiri vijana wote au asilimia hata 60% hatuna kwa sasa na namna pekee tulio nayo ni kufanya kazi kwa vitendo

Asilimia kubwa ya watu Tanzania wanapata hela kwa maneno kupitia udalali, maofisini ni kupokea kusign kuongea kwenye vikao wachache sana wapo katika kuendesha viwanda, uhandisi ukulima, utengenezaji wa bidhaa.

Kwa wanaopata hela kutokana na matokeo yaliotokana na vitendo na kisha kuona kitu physically ni wachache na hao wengi wao tuna wa term kama billionaires

Kwa vijana wa awamu hii, Je wapo tayari kufanya kazi na watu wa namna hii?

Kwa nchi za Afrika na hususani Tanzania njia pekee ya kumuajiri kijana na gharama za maisha kushuka itabidi tuzalishe vyakula kwa wingi, naomba nieleze jambo kwa nchi kubwa za asia na yenye miradi mikubwa ya technolojia walicho fanikiwa kukiweka sawa ni uzalishaji wa vyakula.

Ikipatikana nafasi Mheshimiwa Waziri wa vijana akifika basi asiishie ule mji mkuu azunguke na sehemu nyingine ataona ni namna gani wale watu wana vyakula vingi na sio gharama kabisa.

Thamani ya hela inaweza shuka na gharama za maisha zinaweza panda ila tukiwa na vyakula vya kutosha tunaweza punguza makali ya maisha

Mchele ukilimwa vizuri bei inaweza pungua, kama kwa sasa ni 3000 juu au chini ya hapo uzalishaji ukizidi kwa kipindi hiki basi tunaweza rudisha bei ya 1800 na 2000 kwa kilo moja, Mahindi vivyo hivyo Maharage kwa sana kunde njegere ndizi na vingine

Mheshimiwa Raisi naomba nigusie swala moja inawezekana kwa sasa kila kitu kikaonekana kuwa katika hali ya mshangao naomba uwekeze eneo moja kwenye kilimo wape nafasi vijana wa kawaida kutoka familia za chini kabisa hawa ndio wale walio kata tamaa na wenye chuki ya walio nacho na wasio kuwa nacho, waelimishwe kampeni ziwepo vijana waingie shambani na mikoa yenye ardhi ya kilimo. Na hii itafanya miji na mikoa mingine kukua kiuchumi na maendeleo sio tuu kwa mikoa ilio zoeleka

Hapa kusiwe na gawio la fedha kupitia ofisi za wilaya, kata au mtaa, hapa ni vitendea kazi viwepo site mashambani wazalishe vyakula wauzie serikali moja kwa moja then serikali iweke kwenye maghala kwa ajili ya uuzaji wa ndani na nnje

Kama watahitaji hela za kuendesha maisha pigeni hesabu nzuri kuwepo na return baada ya mauzo, yaani cash flow ionekane baina ya mkulima kijana na serikali

Jengeni maduka makubwa huko mashambani yawe chini ya taasisi either jeshi, police au wengine mkulima akitaka kitu kinunuliwe hapo akitaka kukata nywele iwepo sehemu mtajikuta hela ina flow hapo hapo.

Kikubwa mwa sasa tuache ubinafsi yes!hii sio kwa viongozi bali watanzania tuna hiki kitabia ukipewa nafasi unawaza kwanza ule na familia mshibe, mkichezea maisha ya watu kwa kutokuwa waaminifu kwa watakao pata nafasi basi mtaingiza watu kwenye matatizo tena.

Hela za miradi zisiwe sehemu ya upigaji maana huko nyuma ilishatokea mradi kama huu na sasa ikirudiwa itakuwa ni kuangusha juhudi za awamu yako.

Kwa sasa maisha ni magumu duniani kote jukumu pekee waache watanzania bei za mazao na vyakula zikiwa chini huo uwezo upo na unaweza kabisa Mheshimiwa sina mashaka juu ya hilo kwako.

Kwa miaka hii miwili kazi ifanyike kikamilifu kusiwepo na mtu wa kula kwa urefu wa kamba hii itazidi kukupotezea nuru na kukubalika kwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hilo hatulitaki sisi sote ni watanzania na tunatamani kuiona nchi ikiwa na nuru watu wakiwa na furaha na maisha yakiwa na matumaini.

Mungu Ibariki Tanzania
 
watu wameshindwa kutatua kero ndogo tu ya maji jiji moja tu la dar miaka 60+ ya uhuru unawapa jukumu kubwa hilo linalohitaji akiri kubwa unapigia mbuzi gitaa
Screenshot_20251219_070031.jpg
waache waendelee kufanya selfie na mabeberu
 
endelea kusubiri .

NYIE VIJANA MNA AKILI NDOGO MNATEGEMEA WATU WALIOOFIKISHA NCHI HAPA WAWAFANYIE FAVOR

MUHIMU YOU HAVE TO FIND ANOTHER WAY ON HOW YOU CAN RE-WRITE UR STORY.

HAKIKISHA UNALINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU
 
Moderator, naelewa kutokana na hali heading yangu nilio omba marekebisho ila sio kwa kichwa hicho cha habari mlicho nisaidia kuandika wakuu, uzi ulikuwa mahususi kwa viongozi wa nchi yetu na wananchi hasa vijana tubadilishane mawazo, na ndio maana heading nilitamani isomeke "KWAKO MHESHIMIWA RAISI NA WAZIRI WA VIJANA, JUU NA NAMNA YA KUJIENGUA HAPA TULIPO" spelling error zilikuwa kwenye Mhehshimiwa badala ya Mheshimiwa

Naimani mtanisaidia kuweka hiyo heading shukrani.
 
endelea kusubiri .

NYIE VIJANA MNA AKILI NDOGO MNATEGEMEA WATU WALIOOFIKISHA NCHI HAPA WAWAFANYIE FAVOR

MUHIMU YOU HAVE TO FIND ANOTHER WAY ON HOW YOU CAN RE-WRITE UR STORY.

HAKIKISHA UNALINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU
Mkuu hapo hakuna kijana mwenye akili ndogo, una hukumu kwa misingi ipi ni akili ndogo?, swala la maendeleo ni kwa jamii nzima, na ukiona duniani kuna serikali haitoi sikio lake na kuweka mazingira kwa watu wake basi ujue hakuna wenye dhamira na sidhani kama ipo serikali ya namna hiyo

Kwa sasa viongozi wanatafuta nini kifanyike mambo yaende mbele ndio maana Waziei wa vijana ana zunguka kusikiliza vijana hawa watanzania

ukiona una pata hasira namna watu wanavyo fikiria, kupokea maoni na kutoa maoni ili kuendeleza nchi ama jamii basi kuna sehemu haija kaa sawa na kikubwa punguza ubinafsi.
 
Moja ya ujinga ambao huwa naamini unamsumbua MTU mweusi ni pale anapoamini

Kuwa watu wanabadilika

CCM ikiwa imeifikisha hapa nchi over 60 na Leo hii vijana mnashindwa kuelewa ukweli kuwa nchi inaendeshwaje.

Endeleeni kuamini kuwa mtapata mabadiliko kwa hizo harakati zenu.

Niliwashauri muachane na maandamano Ila mjikite katika hoja za msingi ambazo ni endelevu

Sasa mkikaa na kujalidi the same shit over and over mnapoteza nguvu .

Issue ya ajira n.k usipojipambambania kupata ajira au kujitengenezea ajira yako means utakuwa unapoteza MUDA

So achanane na hizo habari za kukaa kusubiri CCM iwabadilishie maisha

A lot of motherfuckers hamuelewi hili.

Kuwa CCM haina maajabu mapya ya kuibadilisha Tz kukaa mnaamini mtapata kitu kutoka kwao is wate of ur time .
 
Mkuu nadhani upo sehemu tofauti, maana tuna ongea lugha moja ila unacho andika ni kutokana na hasira ulizo chuma sehemu nyingine

Naomba usome ukiwa umetulia na akili ikiwa sehemu moja, maana naona andiko lako limejaa hasira na matusi ambayo hapa hakuja andikwa

Huu uzi unatafuta namna ya watu kujikwambua hasa rika la vijana kwa Tanzania asilimia zaidi ya 50 ni vijana wasipo pewa abc tunatengeneza kizazi hatari kwa 30 years to come

Naomba niishie hapa
 
Mkuu hapo hakuna kijana mwenye akili ndogo, una hukumu kwa misingi ipi ni akili ndogo?, swala la maendeleo ni kwa jamii nzima, na ukiona duniani kuna serikali haitoi sikio lake na kuweka mazingira kwa watu wake basi ujue hakuna wenye dhamira na sidhani kama ipo serikali ya namna hiyo

Kwa sasa viongozi wanatafuta nini kifanyike mambo yaende mbele ndio maana Waziei wa vijana ana zunguka kusikiliza vijana hawa watanzania

ukiona una pata hasira namna watu wanavyo fikiria, kupokea maoni na kutoa maoni ili kuendeleza nchi ama jamii basi kuna sehemu haija kaa sawa na kikubwa punguza ubinafsi.

UJINGA WENU NI PALE MNAPOAMINI KUWA CCM ITAKUJA WALETEA MNACHOTAKA

SAHAU KABISA

CCM KAMA IMESHINDWA MIAKA 60 NDO IJE IWEZE SASA HIVI

KWAHIYO WEWE KAMA KIJANA ACHANA NA MAMBO YA SERIKALI TAFUTA NJIA ZAKO ZA KUPATA MKATE

ENDELEENI KUWA WAJINGA MKIAMINI HIZO STORY ZA TIKTOK NA MITANDAONI KUWA IPO SIKU MTAPATA MAENDELEO

HUWA NAWAAMBIA

***...POLITICS ...***...THE GOVERNMENT AND LIVE UR LIFE

MFUMO WA NCHI ZA WABANTU HAUPO SOFT

HAKUNA MADAI AMBAYO YATASIKIKILIZWA NA KUFANYIE FORGET ABOUT THIS.
 
Mkuu nadhani upo sehemu tofauti, maana tuna ongea lugha moja ila unacho andika ni kutokana na hasira ulizo chuma sehemu nyingine

Naomba usome ukiwa umetulia na akili ikiwa sehemu moja, maana naona andiko lako limejaa hasira na matusi ambayo hapa hakuja andikwa

Huu uzi unatafuta namna ya watu kujikwambua hasa rika la vijana kwa Tanzania asilimia zaidi ya 50 ni vijana wasipo pewa abc tunatengeneza kizazi hatari kwa 30 years to come

Naomba niishie hapa
Hakuna njia ya kujikwamua zaidi ya kutafuta njia ya kujipambania
 
Back
Top Bottom