Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Black people cannot rule themselves.Kipanya alikuja na maono ya namna hiyo, wanasiasa walipoona jambo linaenda kukamilika na bila shaka heko angepata Kipanya basi nao bila aibu wakaingilia kati kupachika mipango yao ambayo haikuwepo kwenye plan ya mwanzo.
Huko halmashauri walikokua wanapata msaada na fedha zao zilikohifadhiwa ndio kukawa na ubadhilifu wa kiwango cha juu. Mradi ulikua wa 400M ila vyuma vya halmashauri vikalima zaidi ya B.
Siku viongozi wakiacha ufisadi na wakawa na uwajibikaji hata hii njia wanayotumia sasa tunatoboq asubuhi tu, tatizo ni ufisadi na kutowajibika sawasawa.
Mwafrika akishapata madaraka awazacho ni upigaji, ufisadi na kujilimbikizia mali.
Ubinafsi ni tatizo kubwa sana kwa watu weusi.
Yani kiongozi wa kiafrika kuliko ajenge barababara kwanza, Hiyo hela anawaza kunununa ndinga kalii, kushusha mijengo mikali na kuoa wanawake zaidi.