DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
SawaOya wewe kichwa chako hakipo sawa au kwa kua nimemtag Mwigulu ndio unambwandambwanda?
SawaOya wewe kichwa chako hakipo sawa au kwa kua nimemtag Mwigulu ndio unambwandambwanda?
Wewe unajua nini kumawewe acha kuongea upumbavu wako halafu unajua sio kila unachoandika humu maana yake watu hawakifahamu au hawakifanyii kazi weka hilo akilini.. yote unayoyaandika wanafanya yote kwa pamoja unajua nini kinafuata? Halafu hakuna anaeblame unachosema wewe watu wanablame wewe ndio unashida ya kufikiri watu wanablame kitu fulani.. watu wanachoblame ni kitu kingine kabisa ambacho wewe sijaona hata ukikiongelea hata kidogo unaongea ushuzi ushuzi tu kujitia ujuaji mwingi kumbe empty head pumpkinDogo nitakutumia kitabu cha Jay Z inbox
Huo usenge utakutoka kichwani
Nyie madogo hamjapitia shida na hamjui maana ya shida
So many motherfucker hamjui hill
Nyoosha maelezoWewe usipojihusisha na SIASA , usipoandamana , usipotukana viongozi je unaweza KUFA?
Tatizo nyie mnapenda Sana Ila hampo tayari kulipa gharama zake.
Huyo dish limeyumba we huoni mkuuOya wewe kichwa chako hakipo sawa au kwa kua nimemtag Mwigulu ndio unambwandambwanda?
Ukiwa unaenda mbele usisahau kurudi nyuma sio huku unasema hivi halafu kule unasema hivi ujue jinsi ya how to stick your fingers in your damn dumbass and sniff it up m-fuckerA lot of motherfuckers hamuelewi hili.
Kuwa CCM haina maajabu mapya ya kuibadilisha Tz kukaa mnaamini mtapata kitu kutoka kwao is waste of ur motherfucking time .
Nyoosha maelezo
😁😁😁Huyo dish limeyumba we huoni mkuu
Usijichekeshe kumawewe jua jinsi ya kusimamia sehemu moja sio huku unasimama na huku unasimama unataka usimame kotekote huo ni usenge... unaleta uchawa wa kijinga
😁😁😁Usijichekeshe kumawewe jua jinsi ya kusimamia sehemu moja sio huku unasimama na huku unasimama unataka usimame kotekote huo ni usenge... unaleta uchawa wa kijinga
Hili inabidi wakae chini kwa umakini sana, kama namba zina ongezwa hivi wanaokuja kulia baadae ni sisi soteKipanya alikuja na maono ya namna hiyo, wanasiasa walipoona jambo linaenda kukamilika na bila shaka heko angepata Kipanya basi nao bila aibu wakaingilia kati kupachika mipango yao ambayo haikuwepo kwenye plan ya mwanzo.
Huko halmashauri walikokua wanapata msaada na fedha zao zilikohifadhiwa ndio kukawa na ubadhilifu wa kiwango cha juu. Mradi ulikua wa 400M ila vyuma vya halmashauri vikalima zaidi ya B.
Siku viongozi wakiacha ufisadi na wakawa na uwajibikaji hata hii njia wanayotumia sasa tunatoboq asubuhi tu, tatizo ni ufisadi na kutowajibika sawasawa.
Huu ukweli mchungu vijana inabidi tuukubaliHakuna njia ya kujikwamua zaidi ya kutafuta njia ya kujipambania
100%Huu ukweli mchungu vijana inabidi tuukubali
Nitumie icho kitabu mkuuDogo nitakutumia kitabu cha Jay Z inbox
Huo usenge utakutoka kichwani
Nyie madogo hamjapitia shida na hamjui maana ya shida
So many motherfucker hamjui hill
Mna weza kusaidia vijana wengine hizo njia ni zipi, je zimefanyika matokeo yakoje?Huu ukweli mchungu vijana inabidi tuukubali
Nitumie icho kitabu mkuu
Nitakutumia mkuuNitumie icho kitabu mkuu
Ni kweli yana hitaji maamuzi magumu swala moja ni vijana kuwa tayari kufanya mabadiliko ya kiuchumi na maendelo kwa kuangalia sekta tofauti na zitakazo endana na mazingira husika lna tulio nayo kisha serikali ikaweka mazingira sahihi kwa jambo kufanyikaMleta mada uko sahihi..ila napata shaka mawazo yako kufanyiwa kazi
Mna weza kusaidia vijana wengine hizo njia ni zipi, zimefanyika na matokeo ni yapi?Nitakutumia mkuu
Hawa vijana hawajui shida
Kama kila mwanachi anapaswa kujipambania mwenyewe, Kazi ya serikali nini?Dogo nitakutumia kitabu cha Jay Z inbox
Huo usenge utakutoka kichwani
Nyie madogo hamjapitia shida na hamjui maana ya shida
So many motherfucker hamjui hill
Kama kila mwanachi anapaswa kujipambania mwenyewe, Kazi ya serikali nini?
Kama kila mwananchi anapaswa kujipambania mwenyewe, kwa nini serikali itoze kodi wananchi?
Hiyo serikali kwa nini isijipambanie yenyewe bila kuhitaji wananchi?
Kama kila mwananchi anapaswa kujipambania mwenyewe, kuna haja gani ya kuwa na serikali?