AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ukitafuta njia zako hawa makumamamazao wanakuja kukubananisha huko huko kikumanina... unategemea nini? What are you talking about unafikiri unayoyasema hapa watu hawayafanyii kazi au wameanza kuyafanyia kazi leo au jana?KWAHIYO WEWE KAMA KIJANA ACHANA NA MAMBO YA SERIKALI TAFUTA NJIA ZAKO ZA KUPATA MKATE
Moderators naombeni mbadili kichwa cha uzi, kwa akili za haraka itapelekea hasira ya upande mmoja huu uzi uliandikwa kama sehemu ya kubadilishana mawazo naomba mnisaidie kufix heading, tafadhali wakuuModerator, naelewa kutokana na hali heading yangu nilio omba marekebisho ila sio kwa kichwa hicho cha habari mlicho nisaidia kuandika wakuu, uzi ulikuwa mahususi kwa viongozi wa nchi yetu na wananchi hasa vijana tubadilishane mawazo, na ndio maana heading nilitamani isomeke "KWAKO MHESHIMIWA RAISI NA WAZIRI WA VIJANA, JUU NA NAMNA YA KUJIENGUA HAPA TULIPO" spelling error zilikuwa kwenye Mhehshimiwa badala ya Mheshimiwa
Naimani mtanisaidia kuweka hiyo heading shukrani.
Mwanzo niliona wewe ni chawa ila sasa unapiga Spana kuelekea upande ule hii isomwe na Gerson MsigwaUJINGA WENU NI PALE MNAPOAMINI KUWA CCM ITAKUJA WALETEA MNACHOTAKA
Heading isharekebishwa mkuu...Moderators naombeni mbadili kichwa cha uzi, kwa akili za haraka itapelekea hasira ya upande mmoja huu uzi uliandikwa kama sehemu ya kubadilishana mawazo naomba mnisaidie kufix heading, tafadhali wakuu
Mimi huwa nazungumza ukweliMwanzo niliona wewe ni chawa ila sasa unapiga Spana kuelekea upande ule hii isomwe na Gerson Msigwa
Hata kwenye kujipambania lazima kuwepo na mazingira mazuri na ndio maana kila nchi ina serikali na kazi yake ni kusimamia watendajiHakuna njia ya kujikwamua zaidi ya kutafuta njia ya kujipambania
Hata kwenye kujipambania lazima kuwepo na mazingira mazuri na ndio maana kila nchi ina serikali na kazi yake ni kusimamia watendaji
Sasa ukitaka kijana au mwananchi ajipambanie bila kumuongezea njia nzuri atafikaje
Kila kipindi kina namna yake ya kutatua mambo mwanzo ilikuwa kazi na viwanda ikaendelezwa ikaja utalii na mengine
Sasa nchi ilipita kwenye hali ya taharuki vijana kuhitaji mambobyao hii ilikuwa au ni hali ya tahadhari inaweza kuwa ndogo ila ikikaa madhara yataongezeka
Kwa misingi hiyo lazima viongozi wakubali kuweka mazingira ili hawa vijana wapate pa kuanzia na mazingira ya serikali huwekwa kwa uanzishwaji wa sera na marekebisho ya sheria kiongozi
Hakuna njia ya kujikwamua zaidi ya kutafuta njia ya kujipambania
Na hiyo ni kutokana na vijana kuwa na fikra wenye nacho wamepata kwa ghafla ndio maana wanataka makubwa japo umeandika lugha ya matudiMbona kuna watu kibao mtaani na hawana Elimu Ila wamefanikiwa maisha
Unajua tatizo
a lot of motherfuckers wants to start marathon at the finish line
motherfucker sio tusi Ila ni slang ya USA ya mtaaniNa hiyo ni kutokana na vijana kuwa na fikra wenye nacho wamepata kwa ghafla ndio maana wanataka makubwa japo umeandika lugha ya matudi
Na hao wasio na elimu wanadumu kwenye nafasi zao kwa miaka mingapi?
Na mafanikio yao ni endelevu? Ukiona mwenye shule ya kawaida yaani msingi au hajafanikiwa kufika elimu ya sekondari na kumaliza ana mali na endelevuMbona kuna watu kibao mtaani na hawana Elimu Ila wamefanikiwa maisha
Unajua tatizo
a lot of motherfuckers wants to start marathon at the finish line
Watu watajipambania na kupata matokeo mazuri kwa sera nzuri na zinazo hitajika kwa muda husikamotherfucker sio tusi Ila ni slang ya USA ya mtaani
Ila nachomaanisha tujipambanie
Dogo nitakutumia kitabu cha Jay Z inboxWatu watajipambqnia na kupata matokeo mazuri kwa sera nzuri na zinazo hitajika kwa muda huo
Same kwa nchi zamarekani, nchi za ula ulaya na asia wote wana mazingira wezeshi kwa wanao anza
Kataa kuwa karai la site kataa kuwa NYUMBU kataaa maandamano Linda uhai wako..kataa utekaji, kataa mauaji.
Kataa kuwa karai la site kataa kuwa NYUMBU kataaa maandamano Linda uhai wako
Dogo Una stereotypeAt last umetema bungo alipokee Dr. Mwigulu Nchemba
..mtendee mwenzako vile unavyoamini unastahili kutendewa.
..usikubali kutumika kuteka, na kuuwa, Watanzania wenzako.
..Tanzania bila genge la wasiojulikana inawezekana.
Kumamamakezako umebadirisha gear tena.. wenikuma kweli weweCCM haina tatizo
Oya wewe kichwa chako hakipo sawa au kwa kua nimemtag Mwigulu ndio unambwandambwanda?Ila tatizl mnalo nyinyi NYUMBU mnaoamini nchi itabadilika kipitia CCM vyombo na sio mpishi