Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Black people cannot rule themselves.Kipanya alikuja na maono ya namna hiyo, wanasiasa walipoona jambo linaenda kukamilika na bila shaka heko angepata Kipanya basi nao bila aibu wakaingilia kati kupachika mipango yao ambayo haikuwepo kwenye plan ya mwanzo.
Huko halmashauri walikokua wanapata msaada na fedha zao zilikohifadhiwa ndio kukawa na ubadhilifu wa kiwango cha juu. Mradi ulikua wa 400M ila vyuma vya halmashauri vikalima zaidi ya B.
Siku viongozi wakiacha ufisadi na wakawa na uwajibikaji hata hii njia wanayotumia sasa tunatoboq asubuhi tu, tatizo ni ufisadi na kutowajibika sawasawa.
Kwa hiyo kama serikali haipo kusaidia wananchi, ipo kwa ajili ya kazi gani?UNAFIKIRI SERIKALI IPO KUKUSAIDIA WEWE .
HUO NI MFUMO UMEUNDWA KUSAIDIA WATU WACHACHE
HAPA AFRICA KILA KITU KIPO ON UR HANDSKwa hiyo kama serikali haipo kusaidia wananchi, ipo kwa ajili ya kazi gani?
Kuna haja gani ya kuwa na serikali, kama HAISAIDIII wananchi chochote?
Jibu swali.HAPA AFRICA KILA KITU KIPO ON UR HANDS
BEAT THE SYSTEM BEFORE ITS BEATS YOU
Umuhimu wa Serikali ni kukuongoza wewe ambaye umeshindwa kujiongozaJibu swali.
Unafanya logical fallacy ya red herring.
Hujibu ulichoulizwa, unajibu usichoulizwa.
Nakuuliza hivi, kuna haja gani ya kuwa na serikali kama HAISAIDIII chochote wananchi wake?
Ad hominem fallacy.Umuhimu wa Serikali ni kukuongoza wewe ambaye umeshindwa kujiongoza
Ad hominem fallacy.
Instead of addressing the argument, you are attacking.
You lack reasoning capacity for arguing with facts.
Sijakwambia kwamba mimi nimeshindwa kujiongoza.
Nakuuliza hivi, Kuna haja gani ya kuwa na serikali kama HAISAIDIII chochote wananchi wake?
Jibu hoja wewe!!
Acha kuleta viroja na kubwabwaja bwabwaja hapa!
Kuwasimamia kwenye nini, kama hausadii chochote wanachi wako?Umuhimu UPO Kuwasimamia msioweza kujisamamia
Kuwasimamia kwenye nini, kama hausadii chochote wanachi wako?
Another neck supporting an empty coconut π₯₯ head.Katika kukupa huduma grade C
Hii nchi imefika hapa kwa kodi za nchi sio na viongozi. Usitake kuonyesha kuwa iko hapa kwa hisani ya viongozi. Kama ni historia ndio hiyo wanataka kuandika kisha mnakuja na id 2 mbili kuuzia watu uoga.endelea kusubiri .
NYIE VIJANA MNA AKILI NDOGO MNATEGEMEA WATU WALIOOFIKISHA NCHI HAPA WAWAFANYIE FAVOR
MUHIMU YOU HAVE TO FIND ANOTHER WAY ON HOW YOU CAN RE-WRITE UR STORY.
HAKIKISHA UNALINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU
I'd umekuwa wimboHii nchi imefika hapa kwa kodi za nchi sio na viongozi. Usitake kuonyesha kuwa iko hapa kwa hisani ya viongozi. Kama ni historia ndio hiyo wanataka kuandika kisha mnakuja na id 2 mbili kuuzia watu uoga.
Yap, maana mmadhani huku wamejaa mafala ambao mnaweza kuja kuwalisha uhuni usio na kichwa wala miguu. Ertugrul BeyI'd umekuwa wimbo
Bora mjadili I'd maana yake uwanja umeinamaYap, maana mmadhani huku wamejaa mafala ambao mnaweza kuja kuwalisha uhuni usio na kichwa wala miguu. Ertugrul Bey
ππ Nimecheka kwa nguvu, si ajabu wanaowalipa mnawapa mrejesho kuwa huku mnaeleweka. Boss huku sio vijijini ambako huwa wanakaa mnawalisha mnachotaka. Yaani huku mnapaka rangi upepo, labda mnaweza kuwa hamjali sana kwani mnalipwa.Bora mjadili I'd maana yake uwanja umeinama
Mimi nipo hapa kuweka mambo sawaππ Nimecheka kwa nguvu, si ajabu wanaowalipa mnawapa mrejesho kuwa huku mnaeleweka. Boss huku sio vijijini ambako huwa wanakaa mnawalisha mnachotaka. Yaani huku mnapaka rangi upepo, labda mnaweza kuwa hamjali sana kwani mnalipwa.
Utamuwekea nani? Kawarudishe mliowateka, hamna duwanzi wa kusikiliza porojo zenu. Tunajua tunachokitaka, na sio mnachotaka tuamini.Mimi nipo hapa kuweka mambo sawa
Utamuwekea nani? Kawarudishe mliowateka, hamna duwanzi wa kusikiliza porojo zenu. Tunajua tunachokitaka, na sio mnachotaka tuamini.
Nyie ni walinda uoga ili viongozi mle bila kusumbuliwa na wananchi. Silaha za moto pekee ndio zitafanya mnyooshe maelezo.SISI NI WALINDA AMANI WA NCHI HII TUNAWAPENDA SANA TUNATAKA MSIFE WALA KUPATA ULEMAVU
NB KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO
KIJANA LINDA UHAI WAKONyie ni walinda uoga ili viongozi mle bila kusumbuliwa na wananchi. Silaha za moto pekee ndio zitafanya mnyooshe maelezo.