Ushauri wangu juu na namna ya kujiengua hapa tulipo kama Vijana

Gen Z wazo hili ni sawa?, kuna namna nyingine nzuri ya kuendeleza taifa letu?

  • Bei ya vyakula ishuke, kwa serikali kuwapa nafasi vijana kwenye kilimo cha kati na kisasa

    Votes: 3 33.3%
  • Vijana wapewe mitaji na mikopo kama awali kupitia vikundi vya mtaani

    Votes: 5 55.6%
  • Vijana wasome kisha kupata kazi kupitia serikali na ofisi binafsi

    Votes: 1 11.1%

  • Total voters
    9
Haya yote yawe kabla au baada ya kuiondoa CCM?
 
Wewe usipojihusisha na SIASA , usipoandamana , usipotukana viongozi je unaweza KUFA?


Tatizo nyie mnapenda Sana Ila hampo tayari kulipa gharama zake.

..Nimeshangazwa sana na swali lako.

..wanaofanya siasa, kuandamana, na kukosoa viongozi, hawastahili adhabu yoyote, wala kuuwawa.

..Hii nchi ni yetu sote, na haifai kundi fulani lijione lina haki ya kuteka, kutesa, na kuuwa, wenzao.
 
Tatizo liko hapo, ukimsikiliza Kipanya ile project ingefanikiwa mpaka sasa tungekua na sehemu ya kujifunzia, ilikaa kijamaa zaidi.

Ila ndo ivo waasisi hawakufaidi ila waliokua wanaprocess hicho kibunda ndo walizipiga hasa.
 
Mkuu watu ili wafanye vizuri ni mpaka wasimamiwe, na hao wasimamizi ni wapigaji unategemea nn mkuu.
Hapo ndo tatizo.
 
Haya yote yawe kabla au baada ya kuiondoa CCM?
Yakiweza kufanyika hata sasa na kipindi hiki yafanyike

Niliona swala la ufunguzi wa vyuo ama kuwekwa msingi kwa campus mpya za Chuo kikuu tuliongea lakini yamefanyika

Tunavyo ongea huenda mipango mingine ipo mezani muda ni wakubwa kuvuta file moja na kulisign then kazi ifanyike

Kwenye hili lina gusa maisha moja kwa moja na kwa namna ya kipekee kwahiyo kama litafanyika tena basi lifanyike kwa umakini mkubwa litapunguza hizi kelele
 
Umeongea kwa uchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…