Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

Kuna seheku vyeti.vinahitajika acha uongo
Mfano unaweza panda ndege ambayo rubani hana vyeti? Au waweza kubali.kutibiwa na daktari asiye.na vyeti?
Wewe unasoma kwa mihemko ila husomi kuelewa intention ya mwandishi. Rudia kusoma uelewe ututolee ujinga wako. Wewe ni miongoni mwa walengwa mnaopaswa elewa hii mada ila kushupaza tu shingo, ptuuuh.
 
Kwani watu mnasomaga mkiwa mnawaza nini, umeelewa intention/goal ya mwandishi au mnasoma kumaliza? Hulala!
 
Kuna watu wanasoma combination ya Physics, mathematics na Computer science form 6 pale, mi nawashauri Hawa waliosoma hii kombi, miezi hii mitatu minne wajibrush YouTube kwa content za Computer science kiundani then, afanye kazi Upwork na freelancer.

Atasahau habari za chuo kabisa.

Yaani aliyeanzisha combination ya Physics, mathematics na Computer science abarikiwe. Hii ndo ya kujiajiri Sasa.
 
Cha msingi ni kusoma kwa malengo. Veta, vyuo vya kati na degree vyote vina umuhimu wake. Tunachokosa ni ushauri unaotokana na uchambuzi wa soko la ajira.
Hakuna ambacho hakina umuhimu Mimi nawachora tu hapa usiseme eti degree haina umuhimu inategemea umesoma degree ya nini, kasomee degree ya uMC upige Pesa km Gara B finish
✍️
 
waachwe vijana waende vyuo vijuu.... then wakitoka huko... waJoin VETA...
Nadhani hapa umezingatia zaidi upande wa familia zinazojiweza.

Ni mzazi gani maskini mwenye uwezo wa kumsomesha mtoto chuo (kama amekosa mkopo) kisha tena ampeleke VETA?kama umesoma vizuri jamaa amesema option iwe kwanza VETA then baadae huyu muhitimu arudi mtaani achunguze cha kwenda kuchukulia degree chuo ili aende akiwa tayari ana uwezo wa kujisomesha
 
Juzi kati niliona UDSM wanataka technician plumber aliyesomea VETA akiwa na cheti cha form 4 ni sawa tu. Mshahara 550,000

Madogo wana magamba ya degree hawana ujuzi kazi ikawapita
Sasa hio plumber hata Mimi saidia fundi si naifanya mboni kazi simple tu tatizo vyeti

Kesho ataitwa electrical engineer hapo hapo UDSM huyo wa VETA atakaa kushoto sababu hana degree ya EE
✍️
 
Kuna taaluma (Professional) hii imekaa kibosi zaidi na kwa sasa kumejaa (wanahitajika watu wachace sana) na nafasi kubwa inachukuliwa na teknolojia!!!!!!!! ujuzi (Skills)hii imekaa kimikono na viungo zaidi huku mpaka unakufa hakutakuja kujaa mpaka kiama!!!!!!!!!!


A professional job is a career that requires a specific amount of advanced training and education. These jobs often require some level of post-secondary education. Some examples of professional jobs include: Doctor. Teacher.13 Apr 2023


indeed.com
https://www.indeed.com › career-advice › finding-a-job


Skill definition and meaning | Collins English Dictionary​


great ability or proficiency; expertness that comes from training, practice, etc. · 2. a. an art, craft, or science, esp. one involving the use of the hands ...


Collins Dictionary
https://www.collinsdictionary.com › dictionary › skill


Dunia imebadilika sana, lakini mfumo wa elimu yetu bado ni wa kikoloni!!!!!!!! Maliza chuo uajiriwe halafu serikalini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa hio plumber hata Mimi saidia fundi si naifanya mboni kazi simple tu tatizo vyeti

Kesho ataitwa electrical engineer hapo hapo UDSM huyo wa VETA atakaa kushoto sababu hana degree ya EE
✍️
Plumber ni taaaluma rahisi kimtaa lakini aliyesomea sio mwenzako.

Ndio tunazungumzia umuhimu wa kuwa na elimu ya ufundi stadi. Dogo wa form 4 kukunja 550k na wenye degree akiwaacha mitaani linatupa picha umuhimu wa ufundi stadi
 
Mkuu mtaa wapo washua wengi walioanza shughuli za ufundi tangia hata bado hatujazaliwa. Ila mpaka anagonga 60 bado awajajipata.
Slogan zao ni izo izo fundi alali njaa.

Maisha ni zaidi ya kula.
Tanzania tunayo shida komavu ya kusoma vitu siyo ili tuelewe bali tutoe mawazo yetu kinzani tunayodhani yana point zaidi.

Kama ulisoma ukaelewa huu mfano wako ni illogical maana hao unaowatolea mfano wengi hawakupita vyuo vya ufundi wao walifundishwa mitaani so hawakuwa na wazo la kujiendeleza kielimu lakini uzi mezani unasema "vijana wakishahitimu elimu ya VETA waende sasa chuo kusomea kile walichotoka nacho huko ili wakakifanye kwa ubora zaidi"

Hii chance hao wazee unaowaona hapo mtaani kwako ukasema hawajajipata hawakuipata wala hawakuifikiria kwa sababu mazingira yao hayakuwapa idea hii na chochote kinamtoa mtu muhimu akifanye kwa weledi na ustadi.
 
Plumber ni taaaluma rahisi kimtaa lakini aliyesomea sio mwenzako
Nimejifunza kutoka kwa ndugu yangu aliepita VETA baada ya kumaliza akafungua duka la vifaa vya ujenzi (workshop) sana sana akawa anauza mabomba na makolokolo mengine ya kuhusu mabomba pamoja na kufanya ufundi majumbani akawa kila akipata kazi nakua msaidizi wake
na ananipa maelekezo hapa fanya hivi pale fanya hivi pima hivi funga hivi hiki funga hivi hapo ndipo nilipopata ujuzi, kingine wadau wangu wa dawasco nao walikua wananipa ABC za hiki fanya hivi hiki fanya hivi vifaa hivi ndio vizuri vifaa hivi usitumie na mengine mengi, sasa mpaka hapo Mimi sio technician ambae sina cheti cha VETA

Ongeza kingine unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…