Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu.

Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa vitumbua. Yaani degree ni luxury sio hitaji muhimu.
Ulianza vibaya ila umemaliza vizuri Big up Madogo wajue ADVANCE NI KUPOTEZA MUDA TUU😅😅
 
Yaan Mzee hadi umeenda kudesa ndio umekuja na swali ? Wewe kwa kukadiria hapo unaona distance ipoje ? Maana ili nipime hapo inabidi niwe hapo napima vipi kwa picha ya simu ? Ndio maana nimekwambia uliza swali la kiutendaji sio theory uliza practical questions mfano nikifunga bomba nafunga likiwa kavu au natumia tape je rubber iliyopo kwenye connector naiondoa au naifanyia nini naiweka au naiondoa ? Naunganisha vipi bomba lililopasuka n so forth, uliza maswali km hayo ya kiutendaji sasa unaniambia hapo nipime kwa makadirio si ntaonekana fundi kilaza
[emoji3578]
Wanakariri Sana hawa

Kwenye makaratasi wako vizuri

Practical sasa [emoji1]

Ova
 
Inategemea umesoma degree ya nini aliesoma engineering hasomi theory tupu lazima atachezea mitambo
Kwa mfano aliyesomea civil engineering ukimwambia ashike mwiko na konobao au achanganye udongo wa kujengea hawezi ila ukimpa kazi ya kusimamia na kutoa maelekezo yuko vizuri, hapo sasa ndipo wanahitajika mafundi ujenzi wa VETA

Kunaweza kukawa na nafasi moja ya kazi ya civil engineer lakini mafundi ujenzi waliosomea ufundi stadi kama VETA wakahitajika wengi

Hawa wenye degree lazima watakuwa wengi mtaani bila kazi
 
Inategemea umesoma degree ya nini aliesoma engineering hasomi theory tupu lazima atachezea mitambo
Itoshe kusema kwa baadhi ya courses kwenda university ni muhimu….

Ila nilichokua namaanisha kungekuwa na muda mchache unatengwa kwa ajili ya courses za ufundi, similar courses zinazotolewa na VETA, wanafunzi wanaopenda wasome bila kuathiri degree wanazozisomea...wakimaliza degree zao at the same time wana ufundi fulani, sio kumwambia mtu asome degree then aende VETA wastage of time, wakati vinaweza kujumlishwa vyote kwenye muda wa kusomea degree au ni mambo mengi kwa mwanafunzi???????????????
 
Kwa mfano aliyesomea civil engineering ukimwambia ashike mwiko na konobao au achanganye udongo wa kujengea hawezi ila ukimpa kazi ya kusimamia na kutoa maelekezo yuko vizuri, hapo sasa ndipo anahitajika fundi ujenzi wa VETA
Yes wale jamaa naona wanafundishwa mamichoro tu mara nyingi wanacheza na program za computer kuchora ramani za nyumba huo mda wa kushika konobao sijui koleo mwiko atautoa wapi?
 
Kwa mfano aliyesomea civil engineering ukimwambia ashike mwiko na konobao au achanganye udongo wa kujengea hawezi ila ukimpa kazi ya kusimamia na kutoa maelekezo yuko vizuri, hapo sasa ndipo anahitajika fundi ujenzi wa VETA
Sasa umkute mtaalam wa civil engineering kutoka nje atashika mwiko,ata operate machine yoyote

Ila waandisi wa zamani tz walikuwa vuzuri kote kote sema kizaz kile kama kimepotea

Ova
 
Sasa umkute mtaalam wa civil engineering kutoka nje atashika mwiko,ata operate machine yoyote

Ila waandisi wa zamani tz walikuwa vuzuri kote kote sema kizaz kile kama kimepotea

Ova
Vijana wanataka kusimamia tu na kukagua hata kuchafuka hawataki

Wajifunze kwa civil engineers wa Kichina hawapo kizembe wakiwa site
 
Itoshe kusema kwa baadhi ya courses kwenda university ni muhimu….

Ila nilichokua namaanisha kungekuwa na muda mchache unatengwa kwa ajili ya courses za ufundi, similar courses zinazotolewa VETA, wanafunzi wanaopenda wasome bila kuathiri degree wanazozisomea...wakimaliza degree zao at the same time wana ufundi fulani, sio kumwambia mtu asome degree then aende VETA wastage of time, wakati vinaweza kujumlishwa vyote kwenye muda wa kusomea degree au ni mambo mengi kwa mwanafunzi???????????????
Ndio maana nikakwambia inategemea na course nimekwambia hakuna mtu anaesomea degree mfano aliehitimu pale DIT amesomea masuala ya engineering asiejua kutumia mitambo practically kwa hio mafunzo kwa vitendo yako sasa sijajua unataka yaweje
 
Nimekuelewa mkuu,ila mimi nilikua nasemea sio hizo courses zenye practical ndani yake ambapo ukimaliza unaweza ukafanya chochote,mimi nilikua nasemea courses kama sociology,huwezi kujiajiri, kwa watu kama hawa kungekuwa na kama supplementary classes kwa wanaopenda wasome ufundi wakati wanasoma degree zao, ufundi ni hizo courses zinazotolewa na VETA ndizo zijumuishwe UNIVERSITY, i believe ukitengwa muda mchache wa masomo ya ufundi kwa muda wa miaka mitatu au minne ya degree zao hawatatoka watupu. Sio sawa kama umalize degree ndio uende VETA wakati unaweza kusomea hio VETA wakati unasomea degree yako. Sio muandishi mzuri sijui umenielewa....
 
Nimekuelewa hicho kitu nahisi kinaitwa selective subjects yaan ni masomo ya practical ambayo unachagua moja unajifunza ili likusaidie huko mbele hicho ndicho unachokisema?
✍️
 
Nimekuelewa hicho kitu nahisi kinaitwa selective subjects yaan ni masomo ya practical ambayo unachagua moja unajifunza ili likusaidie huko mbele hicho ndicho unachokisema?
✍️
Yes ndicho ninachokisema, lakini hayo masomo ya kukusaidia mbeleni ndio hayo yawe ya ufundi wa VETA iwe option lakini kwa wanafunzi wanaopenda.
 
Back
Top Bottom