Hao wafanyabiashara wa stand ya magufuli wasijione miungu watu pekeyao,kumbuka hata pale Shekilango pia kuna wafanyabiashara wanauza kama wao na wao wakisikia shekilango siku inahama watalalamika kama wewe unavyolalamika,Ukiona mahali ulipo hapana fursa basi ikimbilie fursa karibu mahali ilipoMwezi mmoja uliopita mkuu wa wilaya wa ubungo alitembelea pale stand ya magufuli , nilitazama kwenye TV namna wafanyabiashara wa Mbezi magufuli wakilalamika baadhi ya mabasi yakitoka mikoani yanapitiliza hayashushi abiria mbezi magufuli
In summation
Dhumuni la kujenga kituo cha Magufuli ni kusogeza mabasi ya mikoani yasifike city centre , kama sio hivo basi sioni umuhimu wa Serikali kujenga stand ya magufuli kila kampuni ya mabasi ingejenga stand yake kiholela
Hao wafanyabiashara wa stand ya magufuli wasijione miungu watu pekeyao,kumbuka hata pale Shekilango pia kuna wafanyabiashara wanauza kama wao na wao wakisikia shekilango siku inahama watalalamika kama wewe unavyolalamika,Ukiona mahali ulipo hapana fursa basi ikimbilie fursa karibu mahali ilipoMwezi mmoja uliopita mkuu wa wilaya wa ubungo alitembelea pale stand ya magufuli , nilitazama kwenye TV namna wafanyabiashara wa Mbezi magufuli wakilalamika baadhi ya mabasi yakitoka mikoani yanapitiliza hayashushi abiria mbezi magufuli
In summation
Dhumuni la kujenga kituo cha Magufuli ni kusogeza mabasi ya mikoani yasifike city centre , kama sio hivo basi sioni umuhimu wa Serikali kujenga stand ya magufuli kila kampuni ya mabasi ingejenga stand yake kiholela
Point yangu ya msingi ni kwamba Ma bus yasifike mjini tupunguze msongamano ili ushuru ulipwe pale MagufuliHao wafanyabiashara wa stand ya magufuli wasijione miungu watu pekeyao,kumbuka hata pale Shekilango pia kuna wafanyabiashara wanauza kama wao na wao wakisikia shekilango siku inahama watalalamika kama wewe unavyolalamika,Ukiona mahali ulipo hapana fursa basi ikimbilie fursa karibu mahali ilipo
Asante kwa kukubaliUmetaja mitaa ya ndani sana hapo nakubali
Bus za abiria 50 haziongezi misongamano mjini bali zinapunguza.Point yangu ya msingi ni kwamba Ma bus yasifike mjini tupunguze msongamano ili ushuru ulipwe pale Magufuli
Ni kweli wapiga debe ni kero kwa abiria wafikapo stendiWenye kampuni za mabasi Huwa wabunifu sana ktk kumtetea abiria wake ila serikali inaharibu muda mwingi, fikiri mwenye basi anabuni kujitengenezea stendi yake na anazuia wapiga debe na wezi, pia abiria asipate gharama za ziada za kulipa aingiapo stendi, pia km ana mizigo asipate shida kusumbuliwa akishushiwa hapo kwao, anakuwa na machaguo ya kupanda na kushuka hapo stendi binafsi ama stendi ya serikali. Serikali imeonyesha udhaifu mkubwa wa kushindwa kusimamia miradi yake Hadi Hawa watu binafsi wanaamua wao wawe watetezi wa abiria watakaotumia huduma zao. Wawaache wao wabuni namna ya kuwafuata walipe Kodi hata wakiwa ktk stendi zao binafsi tu
Hivi kweli kariakoo pale na ufinyu wa barabara tuanze kupishana na mabasi ya mikoani inakuja akiliniBus za abiria 50 haziongezi misongamano mjini bali zinapunguza.
Barabara zipanuliweHivi kweli kariakoo pale na ufinyu wa barabara tuanze kupishana na mabasi ya mikoani inakuja akilini
Thamani ya ma ghorofa iliyopo pale serikali yetu haina jeuri ya kuwalipa wahindi fidiaBarabara zipanuliwe
Duniani muda ndio kila kitu...Utateseka vipi wakati kuna daladala, mwendokasi, bajaji na bodaboda zote zinakufikisha mpaka katikati ya mji!
Safari yeyote inahitaji kujipanga kifedha huyo ambaye anaona hawezi gharama za kusafiri atelier huko alipoDuniani muda ndio kila kitu...
kama basi lina fikisha mtu Gongo la mboto saa 17h30 kwanini apelekwe magufuli akalipe nauli nyingine na afike Gongo la Mboto saa mbili usiku?
LAKINI PIA, UKITUMIA AKILI YAKO VIZURI, utajua kuwa;
MWENDOKASI NA HATA DALADALA SIO KWA AJILI YA ABIRIA WANAOTOKEA/KWENDA MIKOANI AMBAO WENGI WAO HUWA NA MIZIGO MINGI.
Huyu ni kijana wa 1980's ana falsafa ya kijima, sasa anataka kulazimisha ESTHER LUXRY iliyojitolea kuanzia Chanika kwenda Arusha nauli ile ile huyo abiria wa chanika akimbizane na madaldala mpaka mbezi alafu ndio apande, huu ni upungufu wa akili.Stendi kuu ni stendi ya aina gani?
Hatuangalii kuwapa watu starehe tunaangalia Mpangilio wa mji ni bora zaidi kuliko starehe za watuHuyu ni kijana wa 1980's ana falsafa ya kijima, sasa anataka kulazimisha ESTHER LUXRY iliyojitolea kuanzia Chanika kwenda Arusha nauli ile ile huyo abiria wa chanika akimbizane na madaldala mpaka mbezi alafu ndio apande, huu ni upungufu wa akili.
Mawazo kama haya yanaweza kutufanya tudharauliwe kimataifa kuwa hatuna uwezo wa kufikiri sawasawa..Safari yeyote inahitaji kujipanga kifedha huyo ambaye anaona hawezi gharama za kusafiri atelier huko alipo
Huelewei hata maana ya starehe kama unafikiri kusafiri kwa bus kutoka Mbezi mpaka Chanika ni starehe.Hatuangalii kuwapa watu starehe tunaangalia Mpangilio wa mji ni bora zaidi kuliko starehe za watu
Hana hata hoja za msingi,Huyu ni kijana wa 1980's ana falsafa ya kijima, sasa anataka kulazimisha ESTHER LUXRY iliyojitolea kuanzia Chanika kwenda Arusha nauli ile ile huyo abiria wa chanika akimbizane na madaldala mpaka mbezi alafu ndio apande, huu ni upungufu wa akili.
Kwanini watu wafikishwe chanika ili tu wapate dezo , Main terminal ndo iwe final destinationHuelewei hata maana ya starehe kama unafikiri kusafiri kwa bus kutoka Mbezi mpaka Chanika ni starehe.
Mimi nimzalendo tu sina maslahi yeyote nayapigania ila nasikitika kuona Magufuli terminal ikihujumiwaHana hata hoja za msingi,
Inawezekana ana biashara stendi Mbezi Magufuli au Dalaladala za ruti ya Mbezi.
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.