msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,423
- 3,270
Siku hizi wanakata moja kwa moja kwenye tiketi upite usipite tayari washachukua ya kwaoLakini mkuu si Huwa wanapita magufuli kulipa ushuru hatama wamezaja shekilango, au siku hizi hawapiti ?
Wazo lako ni zuri na ni endelevu kiuchumi,Tatizo ni maono finyu
Tatizo ni fikra mgandamizo
Mwanza ina stendi mbili Nyamhongolo na Nyegezi ambalo ni jiji la pili, likiwa na manispaa mbili tu.
Dar es salaam lenye manispaa Tano(05) lina stand Moja kama chupa ya chai, stand ipo zaidi ya kilomita 30, watu mnaona ni sawa, tuko makini kweli?
Dar es salaam inahitaji stand nne(04) za ziada.
Njia ya Nyerere road Stand iwekwe maeneo ya Chanika.
Njia ya Kilwa road iwepo stand maeneo ya Mbagala.
Njia ya Kigamboni kupitia Mwalimu Nyerere bridge Mandela road.
Njia ya Bagamoyo road.
Halafu Ring road kuizunguka Dar es salaam yote bila kuingia City Center.
Hii ndio way to go.
Okay kama ni kweli serikali inapata makato yake ,ni ✅.Siku hizi wanakata moja kwa moja kwenye tiketi upite usipite tayari washachukua ya kwao
Kha!!Hiyo stendi ya magu muda/wakati wowote inachukuliwa na kampuni
Ya wachina ya kuuza malori na mabus itakuwa kama yard yao
We kaa kwa kutulia subiria
Ova
Kikwete alijenga pale Msamvu , stendi ya kimataifaMagufuli ana deserve recognition, mbona mlishindwa kujenga awamu zilizopita
Nafikiri kwa Tanzania stendi ya Msamvu ndio Stendi iliyojengwa kwa kuzingatia mahitaji ya abiria wengi zaidi, haitakaa iwe na vurugu kama hizi za Mbezi Magufuli.Kikwete alijenga pale Msamvu , stendi ya kimataifa
Ila wapiga debe wanaudhi jamaniMapato hayapotei maana wafanyabiashara wako hadi shekilango pale. Nadhani ungeshauri stand ya magufuli kwakua ni international, basi iwe kama Airport, ondoa wapigadebe wote ndani, kujaza wapiga debe ndani ya stand na wafanyabiashara imefanya stand kupoteza mvuto.
Boss, kigamboni tena?Hilo wala sio tatizo,
Tatizo ni mtu mwenye mizigo yake anayeshukia hapo Mbezi Magufuli akiwa na mizigo na watoto atafikaje Ubungo, Kinondoni, Kariakoo, Posta, Kigamboni n.k
Kama walikuwa wanataka Dar iwe na stendi moja tu ya mabasi sehemu ya kuijenga ilifaa iwe Ubungo, Mwenge, Sinza, Shekilango, Kariakoo, Posta au Kigamboni.
Umepiga kwenye mshonoMizigo na watoto siyo sababu ya kuweka stendi katikati ya mji.
Wasafiri hujiandaa kwa safari, kujiandaa ni pamoja na kujiwekea nauli ya watoto na mizigo.
Stendi ya Magufuli pembeni kidogo kuna stendi ya daladala zinazofika jijini kote.
Hivyo hoja ya mizigo na watoto haina msingi.
Mbona watu wanatelemka na watoto pamoja na mizigo yao Airport na wanafika salama makwao!!
Hii stendi kabla haijafika hapo ilianzia katikati ya jiji, Kisutu, Mnazi mmoja na mtaa wa Msimbazi Kariakoo.
Kuhamishia stendi ubungo na baadaye Mbezi Nia ilikuwa kuondoa vurugu mjini.
Lakini leo kampuni kama Ratco, Tahmeed, Super Feo nk, wapo katikati ya mji wanasumbuliwa tu.
Yah kikwete alionyesha mfano mzuri wa stendi ya kisasa,Nafikiri kwa Tanzania stendi ya Msamvu ndio Stendi iliyojengwa kwa kuzingatia mahitaji ya abiria wengi zaidi, haitakaa iwe na vurugu kama hizi za Mbezi Magufuli.
Stendi nyingine iliyojengwa hovyo kushoto ni ya Igumbilo Iringa.
Nimeamini wewe ni mgeni wa DSM kumbe muda mwingi natumia nguvu kukuelewesha kumbe wewe wa mkoaniAbira wangu wa Mtwara na Lindi 90% wanaishia Temeke na bus langu litaishia hapo hapo Temeke, siji huko stendi kuu Magufuli ili niongezee tu mapato, kama ni ushuru wa bus tutatuma kwa M-pesa.
Nimekuleta umejaa.Nimeamini wewe ni mgeni wa DSM kumbe muda mwingi natumia nguvu kukuelewesha kumbe wewe wa mkoani
Toka lini mabus ya kusini ya lindi na mtwara yanafika Magufuli .
Tafadhali kama wewe sio mkazi wa Dar usichangie hoja yeyote
Sawa , wasalimie Kasulu , nitafutie shamba HukoNimekuleta umejaa.
Uzi wako wote umefia hapa, hakuna haja ya stendi kuu Dar.
Ameshakubali.Mkuu Moto wa volcano inabidi tuongeze terminal zingine kwa watu wa kusini mtwara
Hao miaka yote huwa wanashukia Mbagala , sema tu waboreshewe stendi iwe ya kisasaMkuu Moto wa volcano inabidi tuongeze terminal zingine kwa watu wa kusini mtwara
Vp ndg kasulu napata shamba kwa bei ganiAmeshakubali.
Mbagala huko si kuna watu wameondolewa,vunjiwa maeneo yao ili kupisha stendi ya ma bus ya kusiniMkuu Moto wa volcano inabidi tuongeze terminal zingine kwa watu wa kusini mtwara
Ndio hivyo iwe ya kisasa kweli na space ya kutosha.Hao miaka yote huwa wanashukia Mbagala , sema tu waboreshewe stendi iwe ya kisasa