Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Uliolewa na miaka mingap na mwaka gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna age mtu akifikisha alafu akawa bado bikra ni uchuro, sharti akaogee maji ya bahari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasichana wapi hao unawawausia mkuu, hawa hawa wa mitaani au kuna wengine mahali?Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!
Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono, tafadhali acheni mpaka pale mtakapokuja kuolewa, inawezekana sana kama ukiwa na msimamo na ukijiwekea malengo.
Itakusaidia pia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa kama cervical cancer na HIV, kama unasoma basi utajikita kwenye masomo yako zaidi na chances za kufanya vozuri na kuwa na kafaniklio kimaisha pia huongezeka.
Lakini pia kwa wale ambao wanamuamini Mungu watakubaliana na mimi kwamba UZINZI ni dhambi,kwa hiyo ukiepuka ngoni kabla ya ndoa unaiepuka dhambi no 6 kwenye ile list ya 10 commandments.
Mwenye masikio na sikie, binti tunza bikira yako mpaka utakapoolewa, usisikilize ushauri wa walioshindwa kuitunza hii TUNU [emoji8] na wale wanaume waharibifu na wachafuzi.
Tchao.
ha ha ha haSio how pussy smell like?
Wengne unadhifu alafu wananuka kama sijui kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la msingi ulishasema kuwa mabinti wajitahidi kuitunza. Hizo mila za kuchezeana hazifundishi kugegedwa. Kugegedwa ni hulka zao tu na wala siyo mafunzo. Wanachofundishwa ni heshima, bidii ya kazi, kujitunza. Na kama kuna karesearch umekafanya ukaona bikra ni chache, ni factors nyingi zinasababisha.Hilo nalo ni tatizo kubwa sana, mila na desturi zetu pamoja pia zinachangia hili tatizo, kwa mfano ndugu zetu Wamakonde na Wazaramo na ile mila yao ya kuwacheza unyago mabinti wadogo, inachangia mno wasichana kuanza ngono wangali na umri mdogo. Tuanze taratibu kuelimishana
Wewe u mmoja wao?Kila siku bikra bikra bikra.... wakipumua kidogo basi single mama. Yani hata kutunga story za kiduku lilo hawawezi? Nonsense
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh!!!Ww unadhani kuna mwanaume anaestahili kuoa bikra saivi? Yaan hata nipate chance angel anitokee atake kurudisha bikra yangu wala sitakubali.
Kitu ambacho hakijaguswa ni Virgin ndio maana unaweza kuona "Virgin Land" "Virgin Islands" NKKumbe ‘male’ pia ni virgin..!!
Basi jitunze mkuu.
Wewe miaka 21 unaiona michache kushindana na pepo la ngono?Sasa kama uliolewa ukiwa na miaka 21?
Umeuelewa huo mwandiko Vituka lakini?Naheshimu mawazo yako darling wala sikupingi.
Maneno ya mkosaji. Hujifariji.Kuna age mtu akifikisha alafu akawa bado bikra ni uchuro, sharti akaogee maji ya bahari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu yako ilitolewa ukiwa darasa la tatu basi unajifanya hujui faida ya kuolewa ukiwa bikra!? Hata mtu yoyote hajawahi kuongelea faida hiyo katika familia yako? Kizazi cha ajabu sana hiki, looh!!
Kwa sababu yako ilitolewa ukiwa darasa la tatu basi unajifanya hujui faida ya kuolewa ukiwa bikra!? Hata mtu yoyote hajawahi kuongelea faida hiyo katika familia yako? Kizazi cha ajabu sana hiki, looh!!
Sent using Jamii Forums mobile app