Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

Tatizo hapa ni ako kashahada, ndiko kana kupa shida (ukachome moto, majivu yake, jipake usoni, kwaresma ndo hii). Kanumba "the great" hakuwa na "degree", maisha aliyashinda "under 30". Diamond platinumz, naye kafanya yake bila hiyo '"degree" under 30'. Ushauri, bado mwaka mmoja "degree" yako ku-'expire, since life begins at 40'. Mtafute rafiki wa baba yake, akuombee msamaha, usamehewe, upate mibaraka yake. Anza kuchakalika, lima mchicha, osha magari, kwa ufupi; 'do any blue collar job (hard manual labor), since life favors none without cash'.
 
mkuu uyu mzee sasaivi nahisi ametawaliwa na roho mbaya sana, nataka nipate na mimi maali siwezi kubali jasho langu lipotee mkuu.
Kabla ya kujua hilo jasho unalolidai, hivi Kwa umri ulionao una mtoto hata wa kupakaziwa? Tuanzie hapo tusije tukatoa ushauri pasipo stahili
 
Ambao wazazi wetu hawakutupa chochote hata elimu tumepigana wenyewe hadi level za juu na bado baada ya vyuma kuwa na grese tunawasaidia tuna comment wapi??
 
Baba Yako Kabila Gani??
 
Nahisi una upopoma wa kiwango cha lami[emoji23][emoji23]
Kati ya vitu sijawaza ni hicho
 
mmm afadhali wewe una miaka 39,, wengine huku tuna miaka 41 hatuna kazi ya kueleweka, hatuna madem tunaachwa kila siku tukiwapata,, wazazi wetu maskini hawana chochote,, tuna vyeti vyetu ndani tumeviihifadhi vizuri kabisa..... yaaan kwa kifupi hatuna namna tumekubaliana na hali halisi
 
[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa anatunga story for fun tu! Sidhani kama ni kweli! Tusipanic bure[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mwandishi unajua kuchekesha
 
Umeona wapi mzee anamgawia Mali zake mtoto wake mwenye degree na umri wa miaka 39!? Kwanza mali utazipata kama urithi na urithi ni mpaka mwenye mali afe..! Pambana upate zako
 
hivi unajua maana ya urithi? yeye bado hajafa hapo anagawa tu mali yake, ana haki ya kumpa yeyote hata mpita njia anaweza mpa. ila ninachokiona hapo ni sababu huna kitu. ungekuwa na mali zako angekupa hata na hizo za kwake uzigawe wewe na angekusikiliza.
 
kwa mtazamo wangu
Nafikiri ungeanza kuandika CV yako kuomba kama kuna mtu anafaham mchongo akuunganishe
Kuhusu kukatazwa kurudi Nyumbani naona unastahili ila kama amekuwa mkali kiasi hicho, watumie Ndugu zake baba kama wapo wakamuombe na kama hawapo au hawaelewani; jaribu kupitia kwa watu wa karibu zaidi na mzee, wanaweza kuwa marafiki zake; mama anaweza kukusaidia kuwatambua; wao ndio wanatakiwa waongee naye, na wakupe mrejesho
Hilo la kugawiwa mali, naomba nisiliongelee kwani ni la kisheria zaidi na mimi sio mjuzi....
 
mkuu uyu mzee sasaivi nahisi ametawaliwa na roho mbaya sana, nataka nipate na mimi maali siwezi kubali jasho langu lipotee mkuu.
nimeishia kucheka tu jasho gani umetoa katika utafutaji wa hizo mali.
 
39yrs unaishi home anyway MJuMBE kale ccm maana teuzi zishapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…