Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

Be careful; kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Ndio maana nimesema hizi stories zinapaswa kusikilizwa with an open mind!

Mwanafunzi anayefeli somo purely kwa kuonewa ni rahisi kunasuka kwenye appeal.
 
Be careful; kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Ndio maana nimesema hizi stories zinapaswa kusikilizwa with an open mind!

Mwanafunzi anayefeli somo purely kwa kuonewa ni rahisi kunasuka kwenye appeal.
Tu assume ya kwangu ni stori vipi hao wanaofanyiwa kweli, unamaaada gani kwa hao.
 
Granted, upumbavu kweli upo lakini sio kiasi cha kuhalalisha kila story ya aina hiyo inayotolewa!
 
Ni rahisi saana tu, Kusanya ushahidi wa Sauti na Text, Chukua Nenda kamfate mwenyewe mchimbe biti kua mtoto asipo faulu tu una mreport PCCB

Hyo kesi inakua imeishia hapo.
 
Fanya research yako, kaa na wanafunzi wa vyuo ongea nao utazipata hizi habari au kama umepita chuo lazima utaelewa jambo hili, kubisha hili ni ushahidi kuwa hujui lolote kuhusu ushenzi unaendelea vyuoni maana hujafika chuo
Haihitaji mimi kufanya utafiti; najuwa vyema sana ubovu uliopo ndani ya vyuo hivyo; ubovu ambao pia unatumiwa na mabinti kama huyo anayeongelewa humu..

Unachopendekeza wewe siyo suluhisho la tatizo.

Unajaribu tu, kupoza homa bila ya kushughulikia kinachosababisha homa yenyewe. Hutafanikiwa.
 
Story km hii unatakiwa usikilize pande 2, ili iwe rahisi kutolea suluhisho.
Ila lecturers wa Bongo, mmmh bas tyuuh. Sina neno mie.
Aaah
 
Pole mleta mada kwa changamoto hiyo. Kama una Nia ya kushiriki kutokomeza tabia hii. Taja course code na course ante inayohusishwa na Mwanao kuhangaishwa. Taja degree programme mwanao anayosoma, taja na mwaka anayosoma mwanao, Taja Chuo anaposoma mwanao ili watu waingie kazini.
 
Kwanza pole kwa kupewa stress na hawa magen zero wetu. Nakuomba kwanza ujaribu kupeleleza hayo mambo na ukipata ushahidi kamili fanya juu chini ukutane na huyo mhongwa kikojoleo umwambie haya maneno ;'NIPE MAHARI UMCHUKUE TU' afu uondoke. Coz unaweza ukakuta mtoto hasomi ndugu yangu ashakua mtu wa viwanja. Na mwisho wa siku hawa watu wasasa wanavojiamini utajikuta ni uongo. Narudi kwanza
 

Usithubutu kutaja taja bila ushahidi, hakuna mtu wa kuingia kazini bila ushahidi ndo kwanza utamponza mwanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…