MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Vile ni vijiji na vitongoji na kila unachoita kichaka ni mashokora ya watu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ndio maana nimemjibu mdau hapo. Nenda Kisiju Pwani.....huko njiani ni vichaka mpaka unashangaa kama upo misitu ya Congo.
Hakika umeongea vema sanaHii nchi ina shida katika utawala, hasa decision makers. Wanagawa mikoa tu daily, kuna tija gani? Labda tujiulize, wangapi leo hii wanaenda ofisi ya mkoa? Kufata nini?
Je, hicho wanachokifata hawawezi kukipata hapo walipo?
Eti mwalimu anaenda mkoani anatoka Rufiji au Mafia mpaka Kibaha maili 1 kupeleka barua ya kuomba uhamisho kwa afisa elimu mkoa. Wakati tunaishi dunia yenye email na simu.
Hatuhitaji mikoa mingi. Tunahitaji utoaji huduma ulio bora katika mikoa michache tu. Hilo lingepangiliwa pamoja na mipango miji, serikali ingeweza kuhudumia population yote ijayo.
Mashokora hayalimwi, yana minazi iliyozeeka mirefuuuu na mikorosho iliyozingirwa na vichaka. Hongereni lakini.Vile ni vijiji na vitongoji na kila unachoita kichaka ni mashokora ya watu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] Ukubwa ulionao Morogoro kwa sasa hujatosheka nao unataka uiongezee na pwani pamoja na Dar boss[emoji28] fikiria kwanza
TABORA mkuuKibaha na bagamoyo zitakuwa mkoa gani
Nikipata eneo la maana kibaha nahamia fasta
Hilo Jambo nilikuwa naliwaza Leo mchana wakati nakuja Moshi...nkasema hivi kwanini mkoa wa pwani usigawanywe ...maana ukitoka bagamoyo Hadi mpakani mkoa wa Tanga Ni kipande..halafu ndio useme Hadi rufiji Ni mkoa mmoja..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakubali..mbagala, Mbande,Mvuti,Msongola, chanika, Pugu ,kisemvule,vikindu zote ziende mkoa wa PwaniKipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha unafutika, mpaka wa Dar, Bagamoyo unafutika kwa kasi sababu ya ujenzi unaokuwa kwa kasi ya ajabu.
Jiografia ya mkoa wa Pwani inashangaza sana, mtu wa Bagamoyo akitaka kwenda Rufijii au mafia lazima apitie Dar au apande chombo cha baharini. Ushauri wangu
Hizi wilaya mbili Kibaha na Bagamoyo zije Dar, ili kubalance mapato na uchumi wa mkoa wa Pwani Kigamboni na Mbagala yote iende Pwani,waungane na Mkuranga,Kisarawe, Mafia Kibiti na Rufiji.
Faida zake:
Jiji la Dar eS Salaam litapumua kwa kupata ardhi ya kutosha na kukua kwa kasi ya ajabu kibaha itakuwa kama urusi kwa technology na viwanda na Bagamoyo zitakuwa kama ukraine kwa utalii, pata picha chalinze iwe ni sehemu ya Dar es Salaam.
Tuje Pwani sasa.
Pwani kwa kupewa Kigamboni na Mbagala itachangamka sana, tatizo la Pwani ni kukosa amsha amsha. Mbagala itakuwa Dubai mpya kwa biashara mpaka sasa Mbagala inazidi baadhi ya mikoa kwa idadi ya watu na amsha amsha ya kibiashara njoo Mbagala kuanzia saa kumi jioni mpaka saa nne usiku hutaamini macho yako pata picha Mbagala iko Pwani na na sehemu ya Kigamboni itakuwa Paris au Spain sehemu za kula bata kwenye fukwe.
Mto mzinga utenganishe dar na Pwani.Bandari ibaki Dar
Wakazi wengi wa Mbagala wana asili ya Pwani au Kusini mwa Tanzania, watafurahi kurudi nyumbani kwa style nyingine.
Chawa wa mama mfikishieni hii
Kama mapinga na kerege na zinga uwezi kuzitofautisha na dar mfano Bunju na Tegeta.
Naunga mkono baadhi ya maeneo yasogezwe dar kama sio wilaya nzima.
Mkoa wa morogoro unaujua wewe,?Mimi ningekua na uwezo ningehamisha mkoa mzima wa pwani na morogoro na kuuleta Dar ili kutengeneza mkoa mmoja, service delivery ingekua ndio msingi sio utitiri wa hii kitu,nchi nzima mikoa 12 tu.
Soma unielewe pumbavu wewe, ukubwa au udogo wa eneo sio issue hapa, common man on the ground need services delivery.Mkoa wa morogoro unaujua wewe,?
Kwa taarifa tu huu mkoa ukiumega zinatoka dar 3.
Duh..Soma unielewe pumbavu wewe, ukubwa au udogo wa eneo sio issue hapa, common man on the ground need services delivery.
Sasa mkuu mpaka wa Dsm na Pwani utakua wapi? kama Mbgl na Kigamboni zikiwa PwaniKipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha unafutika, mpaka wa Dar, Bagamoyo unafutika kwa kasi sababu ya ujenzi unaokuwa kwa kasi ya ajabu.
Jiografia ya mkoa wa Pwani inashangaza sana, mtu wa Bagamoyo akitaka kwenda Rufijii au mafia lazima apitie Dar au apande chombo cha baharini. Ushauri wangu
Hizi wilaya mbili Kibaha na Bagamoyo zije Dar, ili kubalance mapato na uchumi wa mkoa wa Pwani Kigamboni na Mbagala yote iende Pwani,waungane na Mkuranga,Kisarawe, Mafia Kibiti na Rufiji.
Faida zake:
Jiji la Dar eS Salaam litapumua kwa kupata ardhi ya kutosha na kukua kwa kasi ya ajabu kibaha itakuwa kama urusi kwa technology na viwanda na Bagamoyo zitakuwa kama ukraine kwa utalii, pata picha chalinze iwe ni sehemu ya Dar es Salaam.
Tuje Pwani sasa.
Pwani kwa kupewa Kigamboni na Mbagala itachangamka sana, tatizo la Pwani ni kukosa amsha amsha. Mbagala itakuwa Dubai mpya kwa biashara mpaka sasa Mbagala inazidi baadhi ya mikoa kwa idadi ya watu na amsha amsha ya kibiashara njoo Mbagala kuanzia saa kumi jioni mpaka saa nne usiku hutaamini macho yako kila aina ya biashara utaikuta .pata picha Mbagala iko Pwani na na sehemu ya Kigamboni itakuwa Paris au Spain sehemu za kula bata kwenye fukwe.
Bandari ibaki Dar.Wakazi wengi wa Mbagala wana asili ya Pwani au Kusini mwa Tanzania, watafurahi kurudi nyumbani kwa style nyingine.
Chawa wa mama mfikishieni hii
Hili ndio neon strategical..!! ila nawaza kwa serikali ijenge kwa fedha zipi? hizi za kukopa? Je fidia kwa wenye majengo yao?Kimsingi dsm ibaki kama ilivyo..ila ardh yote irudi serikalini na wakazi wadsm wahamishwe serikali ijenge magorofa appartments za kutosha kisha warususiwe kuja kupangisha tu..hakuna kuruhusu mtu kujenge kama unataka kujenge nenda kajenge pwani huko.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm inavunja vunja nchi ili kugawana vyeo na kufanya ufisadi wa pesa za umma ,Mimi ningekua na uwezo ningehamisha mkoa mzima wa pwani na morogoro na kuuleta Dar ili kutengeneza mkoa mmoja, service delivery ingekua ndio msingi sio utitiri wa hii kitu,nchi nzima mikoa 12 tu.