Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

Kenge wewe. Simba sc ni viti maalum kwani ni mabingwa wa nchi gani?
Cheki huyu alichokiandika nilijua atafuta kwa aibu lakini bado ameiacha hii trash hajajua kuwa alichokiandika ni aibu??

Simba yupo Club Bingwa kutokana na juhudi zake za kuifanya Tanzania iwe miongoni mwa timu 12 zitazoweza kutoa timu nne kwenye michuano ya CAF.

Simba ilijitengenezea backup yenyewe kuwa hata ikitokea kombe la ligi kuu limeenda kwa timu ya ajabu basi anayo access ya kucheza CAF champion league.

Sijui kama ulikuwa unaelewa hii?
 
We kama katika enzi zako mpira ulicheza basi ulikuwa Sarpong wa miaka hiyo.
 
Kuna mwingine nimemkumbusha Yanga walianza hatua ya awali wakati Simba ilianza hatua ya kwanza. Yaani kuna baadhi yao wanaamini Simba imependelewa hata kuwepo katika mashindano haya
 
Kuna mwingine nimemkumbusha Yanga walianza hatua ya awali wakati Simba ilianza hatua ya kwanza. Yaani kuna baadhi yao wanaamini Simba imependelewa hata kuwepo katika mashindano haya
Yeah tena wakati wao ndio wamechukua na Kombe huku ni finalist wa luza
 
Simba haihitaji timu nyingine ishinde ili yeye afikirie atafuzu. Mechi ya mwisho Simba anacheza nyumbani tena dhidi ya timu ambayo tuna kisasi nayo. Unadhani Simba hii iliyotulia ina wasiwasi na hiyo mechi?
haina wasiwasi ila dua zote zilikuwa ni asec ishinde, watakapokuja kuwanyoa hapo kwa mkapa ndo mtajua hamjui, kwani mwanzoni mlikuwa hamjatulia? Kilichokuwa kimewafanya mstulie ni nn?
 
🤣🤣 mwqkq huu uto watakukoma mkuu wakilala uko nao wakiamka unawasubiria mlangoni
 
Ukijua kuandika kutumia smartphone baaasi
 
kitu nme notice huyo Scars na Sayville ni jitu moja ID tofauti
 
Comrade, hiki ulichoandika hapa ni zaidi ya uharo wa bata. Na uniwie tu radhi kwa kusema ukweli.

haina wasiwasi ila dua zote zilikuwa ni asec ishinde, watakapokuja kuwanyoa hapo kwa mkapa ndo mtajua hamjui, kwani mwanzoni mlikuwa hamjatulia? Kilichokuwa kimewafanya mstulie ni nn?
Huu uzi GSM akiuona anaweza kutuma vijana wanitafute ili aniajiri. Anapoteza pesa zake kwa watu wana midomo tu ila jezi hawanunui, viwanjani hawaji. Hasara tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…