DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #121
Limbukeni TU wa ujenzi uyo,Kapotea njia huyu ndo wale wanachapiwa wake daily maana anashindana na maisha kama vile ameyaumba yeye hayo maisha mwisho kwenye pale kati anaharibu mazima
ndo wale Unakua baba wa familia unajenga nyumba ya kuishi afu mke na watoto unawalisha uji na chumvi wanadhoofika kwa utapiamlo.😃
Akili kisoda hizo.