Usimtie gundu binti kiziwi anastahili mwanaume bora kuliko wewe.Tell you what.... With me the fight will be worth it.. Utapigania katiba ukiwa na kidume Mzalendo kabisaa
I loved you the first day, nimelog in kwa jf. I was silently reading your words hoping how am I gonna be in the capacity to even attract you....
Nikaanzaga kureply post zako, ila ukawa unazi acha kamz zilivyo.. That time 2021, niko dumb and naive.. 😂 I had to level up my game, I knew I was only gonna be in resonance with you, si unajua like minds only attracts...so binti kiziwi uko sahihi kunipenda na mie nakupenda sana.
😂😂😂😂 Jeshi umefika!Usimtie gundu binti kiziwi anastahili mwanaume bora kuliko wewe.
Una ego 🤣 sana mwana yanga☺️😃Usimtie gundu binti kiziwi anastahili mwanaume bora kuliko wewe.
We dokta wewe!! Sisi tulioolewa ni dhambi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwingine.Una ego 🤣 sana mwana yanga☺️😃
Nakutania
NB. Na jezi Yako mpya ya yanga nipe location IJE kwa ndege au transporter ganii au mabasi utanambia
Nitahakikisha hata PM hufungui kwa hiki kitoto😅😅🔥🔥
Nishazoea kumtania lakini hii nimeongea kutoka moyoni.😂😂😂😂 Jeshi umefika!
Kazi yako ni njema iliyotukuka 🥰Nitahakikisha hata PM hufungui kwa hiki kitoto😅😅🔥🔥
Yuko ila Sasa....Unatakiwa uwe navyo vingi usisahau na hela 😂😂
Nimesema kwa nguvu napokeaaaaa! 😂Nishazoea kumtania lakini hii nimeongea kutoka moyoni.
Naona unastahili mwanaume asiye na maneno mengi zaidi ya kadi ya bank kufanya fujo.
ShesRise_1 nakupenda sana, Tafadhali nikubalie uwe mchuma wangu. 😥😥😥Umewahi kuwa in love na mtu lakini ukashindwa kabisa kumwambia? ❤️
Ni nini kilikufanya ushindwe kufunguka?
Kwa sisi baby girls, mara nyingi tunaamini ni bora kubaki kimya kuliko kuonekana tunajishusha au kukosa maadili
Au kuhofia tutaonekanaje kwa muhusika na watu wengine
Ndiyo maana wengi huchagua kuficha hisia zao, wakibaki kuonyesha ishara tu huku wakigugumia moyoni
Kama mwanaume hajajiongeza, basi ndiyo hivyo tena🤭
Kwa wanaume, huonekana ni rahisi zaidi kutupia ndoano, ingawa wapo pia ambao ni madomo zege
Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza 🤣🤣
Je, umewahi kumpenda mtu kiasi cha falling deeply in love, lakini ukashindwa kumwambia? Uoga wako ulikuwa ni nini?
Kulombana sio anasa
ShesRise_1 ✋️
Kwahiyo anadanganya binti kiziwi 🥹🥹Na wewe unamwamini kabisaa! Aisee kakuweza😂
Kwaio hupokei zawadi ya mtu eeeeeeeeWe dokta wewe!! Sisi tulioolewa ni dhambi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwingine.
Wanasema tunakua tumewadharau waume zetu🙆
Ila nini 😢Yuko ila Sasa....
Akhaaa who are you 🤦♂️ShesRise_1 nakupenda sana, Tafadhali nikubalie uwe mchuma wangu. 😥😥😥
Ana mambo mengiIla nini 😢
😥 dah! sikuweza, nilikuja kugundua ana multiple partners dk 90, niliamua kumove on tu !Poleee alipomaliza ulimwambia?
Mda mrefu tu sema nilikuwa naogopa kukwambia, au unataka nikuazishie thread sasa hivi?? .Akhaaa who are you 🤦♂️
Umeanza lini kua in love?
SipokeiKwaio hupokei zawadi ya mtu eeeeeeee
Ikitokea umepewa kitu chochote hupokei ☺️
Pole sana mkuuAna mambo mengi