Ushawahi kwenda sehemu, baada ya kukuona wakakuchukulia poa, baadaye wakajua wewe ni mtu wa aina gani, wakaanza kukuonea aibu?

Chai. Umechemsha chai hapo kukuambia wahi daladala saa hizi zimejaa. Yaani from no where mtu alopoke kukupangia usafiri wa kuondoka nao?. Haiji
Mkuu unavyodhania ni tofauti na uhalisia nilioukuta pale, ni vibinti vya kiswahili halafu nilikuwa navijibu kavu sana ndio maana vikaropoka sio chai ni uhalisia niliokutana nao, we vitoto vinatembea na vioo kwenye vikoba vyao Unategemea vikuogope?
 
Hata kama wanadharau ila hii ni too much, kwanza kibongobongo lazima aogope maana kila mtu kavurugwa nchi hii.
Mkuu unavyodhania ni tofauti na uhalisia nilioukuta pale, ni vibinti vya kiswahili halafu nilikuwa navijibu kavu sana ndio maana vikaropoka sio chai ni uhalisia niliokutana nao, we vitoto vinatembea na vioo kwenye vikoba vyao Unategemea vikuogope?
 
Kamba bora ya mkonge toka tanga

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app

Ila kwakweli first impression inamata sana ndio maana matapeli pale posta mpya wana suti kali unaingia mkenge mwenyewe,kwahiyo huyo mtoa mada sio kwamba muongo ni kweli kabisa,watu wanakuchukulia jinsi wanavyokuona

Nakumbuka wakati mzee amehamishiwa wilaya ya kinondoni tukaenda kuishi oysterbay,sasa pale hatupo mbali sana coco beach,so unaweza tupia yebo yebo tu kisha unajisogeza tu beach

Nimekaa zangu beach,nikamuona mrembo anapita nikamuita,sasa wakati huo miguu yangu ilikuwa imezibwa na kigogo cha mnazi,demu kusogea si ndio akaniona nimevaa yebo yebo huwezi amini demu akasepa,,kimoyo moyo nacheka we hujui mimi ni mtoto wa kishua

Kwahiyo kwa kifupi jinsi gani unajiweka ndio watu wanakupa hadhi yako
Chai
 
Chai. Umechemsha chai hapo kukuambia wahi daladala saa hizi zimejaa. Yaani from no where mtu alopoke kukupangia usafiri wa kuondoka nao?. Haiji
tena hii ni 'green tea' ukinywa inasafisha kabisa tumbo, kaambiwa awahi daladala lakini hao wanawake kawakuta eneo la maegesho dah! hii haina tofauti na matokeo ya uchaguzi serikali za mtaa 2024.
 
Mimi kazi yangu ina jina kubwa sanaa.Sasa watu wanafikiri nalipwa mamilioni masikini ya Mungu ,kumbe nakunja mia tisa na chenji kabla ya makato mpaka kurudi laki nne na kitu mfukoni.Basi watu mara waniombe niwaazime milioni kumi,mara niletewe prado linauzwa,mara mgeni rasmi wa kuongoza harambee.Kadi za harusi ndio hazina idadi.Kumbe ni masikini mwenye jina kubwaaaa.
We ni bank teller nini
 
chai-bora-premium-tea-blend.jpg
 
Back
Top Bottom