Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Sanaa hlf ujue anamtia ndani mtoto wa mkuu wa wilaya katika wilaya yake😂😂Huyo polisi inaonekana alilaumu sana baada ya nyie kuondoka
Mkuu unavyodhania ni tofauti na uhalisia nilioukuta pale, ni vibinti vya kiswahili halafu nilikuwa navijibu kavu sana ndio maana vikaropoka sio chai ni uhalisia niliokutana nao, we vitoto vinatembea na vioo kwenye vikoba vyao Unategemea vikuogope?Chai. Umechemsha chai hapo kukuambia wahi daladala saa hizi zimejaa. Yaani from no where mtu alopoke kukupangia usafiri wa kuondoka nao?. Haiji
Mkuu unavyodhania ni tofauti na uhalisia nilioukuta pale, ni vibinti vya kiswahili halafu nilikuwa navijibu kavu sana ndio maana vikaropoka sio chai ni uhalisia niliokutana nao, we vitoto vinatembea na vioo kwenye vikoba vyao Unategemea vikuogope?Hata kama wanadharau ila hii ni too much, kwanza kibongobongo lazima aogope maana kila mtu kavurugwa nchi hii.
Mkuu unavyodhania ni tofauti na uhalisia nilioukuta pale, ni vibinti vya kiswahili halafu nilikuwa navijibu kavu sana ndio maana vikaropoka sio chai ni uhalisia niliokutana nao, we vitoto vinatembea na vioo kwenye vikoba vyao Unategemea vikuogope?
Mkuu unavyodhania ni tofauti na uhalisia nilioukuta pale, ni vibinti vya kiswahili halafu nilikuwa navijibu kavu sana ndio maana vikaropoka sio chai ni uhalisia niliokutana nao, we vitoto vinatembea na vioo kwenye vikoba vyao Unategemea vikuogope?
ChaiIla kwakweli first impression inamata sana ndio maana matapeli pale posta mpya wana suti kali unaingia mkenge mwenyewe,kwahiyo huyo mtoa mada sio kwamba muongo ni kweli kabisa,watu wanakuchukulia jinsi wanavyokuona
Nakumbuka wakati mzee amehamishiwa wilaya ya kinondoni tukaenda kuishi oysterbay,sasa pale hatupo mbali sana coco beach,so unaweza tupia yebo yebo tu kisha unajisogeza tu beach
Nimekaa zangu beach,nikamuona mrembo anapita nikamuita,sasa wakati huo miguu yangu ilikuwa imezibwa na kigogo cha mnazi,demu kusogea si ndio akaniona nimevaa yebo yebo huwezi amini demu akasepa,,kimoyo moyo nacheka we hujui mimi ni mtoto wa kishua
Kwahiyo kwa kifupi jinsi gani unajiweka ndio watu wanakupa hadhi yako
tena hii ni 'green tea' ukinywa inasafisha kabisa tumbo, kaambiwa awahi daladala lakini hao wanawake kawakuta eneo la maegesho dah! hii haina tofauti na matokeo ya uchaguzi serikali za mtaa 2024.Chai. Umechemsha chai hapo kukuambia wahi daladala saa hizi zimejaa. Yaani from no where mtu alopoke kukupangia usafiri wa kuondoka nao?. Haiji
Siipendi hii picha. Ninefanya apo Uniliver Mufindi aisee.
We ni bank teller niniMimi kazi yangu ina jina kubwa sanaa.Sasa watu wanafikiri nalipwa mamilioni masikini ya Mungu ,kumbe nakunja mia tisa na chenji kabla ya makato mpaka kurudi laki nne na kitu mfukoni.Basi watu mara waniombe niwaazime milioni kumi,mara niletewe prado linauzwa,mara mgeni rasmi wa kuongoza harambee.Kadi za harusi ndio hazina idadi.Kumbe ni masikini mwenye jina kubwaaaa.
Wafu tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nmecheka visa vya wafu, we na BMW huringi Fake P
Wapi niko sehemu nazunguka na mafaili tu kama kichaa🤣🤣We ni bank teller nini