Ushindi wa Yanga dhidi ya Kaiza chiefs umekifunika kibegi

Ushindi wa Yanga dhidi ya Kaiza chiefs umekifunika kibegi

Habari ya mjini Sasa hivi ni Yanga kuifunga Kaiza chiefs, Skudu na Maxi. Hii imesababisha uzinduzi wa Jez mpya za Simba uwe buusheti!!!
Yaani watu waache kuzungumzia soka la kwenye kitabu liliopigwa hapo uwanjani wazungumzie mambo ya mabegi? Naamini Watanzania hawawezi kuwa na ujinga wa hivyo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom