Ushirikina Kigoma: Mwanamke aliyefariki Oktoba 2018 na kuzikwa aonekana akiwa hai

Hakuna kufufuka, ama hakufariki na walizika mtu mwingine kimakosa au anafanamushwa na mtu aliyefariki
 
Hivi kiongozi yule huwa anasimama majukwaani kuwananga wanaoogopeka si anatokea huko? Kuna mwaka inasemekana aliwashughulikia greens kama wanne hivi
 
Huwezi kukuta habari kama hii inaripotiwa CNN

Media kubwa zinajua ni kiasi gani habari za uongo zinaweza kui gharimu media kibiashara.
Lakini pale tu ambapo interests za magharibi ni finyu. Lakini pale ambapo interests zao zipo watasema uongo, kama tunayo ya sikia kwenye vita vya Israel na Hamas mara oh makao makuu ya Hamas yako chini ya hospitali. Walipo I chukua hiyo hospital hatukuona hao mateka wala nini.
 
Tuanze na wewe

Unakubali mtu aliyekufa anaweza kufufuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ