Ushoga katika taifa la Israeli

SOMA HADITHI IDADI:6,245
YA MU'WAIYA ABU IBN SUFYAN MKUU NA MAJIBU YOTE YA MAALIM YAPO HUMO KWA TATIZO HILI LA UBASHA NA USHOGA HUKO MASHARIKI YA KATI
 
Kuna watu huwa wanaamini Israel ni kielelezo cha Ukristo na wanaamini kwa kuiponda Israel basi watakuwa wanauponda Ukristo na Kristo kitu ambacho sio sahihi...
 
Mimi natafsiri ushoga kisayansi, kwangu mm ni tabia ya hasara isiyo na faida kwasababu hakuna mtoto anayepatikana hapo. Nashauri watu wajikite kwenye mahusiano ya mme na mke kwani uzao wao utaongezeka
 
Naomba kufahamu kama kuwanyonya wavulana ulimi au kuwapiga denda ni kosa, na je kweli hili andiko lipo kwenye vitabu nyenu......
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245
Asante mkuu kwa kujibu nilichokua namuambia Maalim asome hii adithi.
NILIWAAMBIA WASOME HADITHI IDADI:6,245 YA MU"WAIYA ABU IBN SUFYAN
 
Uko sahihi kote ila nakuongezea wakristo Israel ni asilimia mbili bali waislamu ni asilimia 18%.Israel inauislamu zaidi kuliko ukrito mara 9.
 
Uko sahihi kote ila nakuongezea wakristo Israel ni asilimia mbili bali waislamu ni asilimia 18%.Israel inauislamu zaidi kuliko ukrito mara 9.
Hao waislamu ni watu wa jamii gani mkuu ndani ya Israel???
Na hao wakrsto ni watu wa jamii gani mkuu ndani ya Israel???
Ukiwa mtafiti wa kina wa imani za binadamu utaelewa kwanini wakrsto wanawaunga mkono wayahudi.
Maana 100% ya ukrsto umetokana na uyahudi.
 
Pia uislamu umetokana na uyahudi.hata kiibada na imani uyahudi unafanana sana na uislamu wote mnaamini torati.
 
Pia uislamu umetokana na uyahudi.hata kiibada na imani uyahudi unafanana sana na uislamu wote mnaamini torati.
Basi waislamu wamewaiga wayahudi maana hata Qur'an ni kopi ya torati ila imebadilishwa badilishwa na kuongezewa dondoo.
NB:Hata ukrsto kiibada umefanana sana na uyahudi.Nenda Vatican ujionee mkuu
 
Basi waislamu wamewaiga wayahudi maana hata Qur'an ni kopi ya torati ila imebadilishwa badilishwa na kuongezewa dondoo.
NB:Hata ukrsto kiibada umefanana sana na uyahudi.Nenda Vatican ujionee mkuu
Zote zinaitwa Abramovic religion .ila tofauti ni kuwa wakristo hawahusiki na ishu ya middle east ni ishu ya waislamu na wayahudi .
 
Yeah dadangu kwa wakrsto wayahudi ni wabarikiwa na ni watoto wa taifa la Mungu wao aitwae ADONAI na kwa waislamu wayahudi ni watu waliolaaniwa na watumwa na vijakazi wa waarabu na Mungu wao ALLAH amewalaani.

Sio kweli kwamba wakristo wote tunaamini kuwa wasraeli ni wateule, ni walokole tu. Sisi wakatoliki tunaheshimu na kutambua historia yao na kwamba Yesu alizaliwa kwao. kwetu sisi Kila mkristo anyefuata mafundisho ya kristo na kuyaishi ni mteule wa Mungu, Mungu wetu hana ubaguzi hana upendeleo hana taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…