Watu bwana na hii ushoga hadi nimechoka; anyway by now mnajua ushoga upo kw kila jamii regardless of its causes and tofauti ya jamii ni kati ya wale waliokubali na kuwaheshimu na kuwaruhusu waishi maisha yao bila kujificha na wengine wanaowakwaza kisheria na kijamii either way gays wapo kote full stop. Kuhusu Wayahudi ni shobo za watu ya kuwaita watakatifu wao hawajawahi kusema ni malaika wanajua kila kitu au waabudiwe in fact kw dini yao Judaism which isn't a missionary religion wanasema wamechaguliwa wao kuwa na covenant na Mungu na kuwapa muongozo fulani kuiongoza dunia ya Gentiles( non Jews) lakini kumbuka hawaamini Yesu au Messiah alishakuja km Wakristo so izo ni shobo za wakristo dhidi ya Jews not vice versa. Judaism km Ukristo na Uislamu wote ndio wanakataza ushoga lakini ushoga ulikuwepo tangu enzi izo ndo maana unatajwa so nothing new. Pia dunia yote hai revolve na Mungu wa Abraham kuna dini nyingi ambazo hazina shida na ushoga. Hinduism ni polytheism na wana miungu kibao na hamna specific restriction na hata km ipo kuna miungu milioni 33 so kuna wengine hawana shida😂Budhism pia haipo clear, kuna dini nyingi za enzi ya Roman Empire pia hawakupagawa na ushoga na ulikuwa tolerated sana hata kw kipindi cha awali za utawala wa Uislamu. Pia China kun dini ya Taioism ambayo kuna Mungu shoga wanaomuabudu😂😂😂 so sio dini zote wamekataa ushoga au kutaka watengwe. So iyo Israel na taifa teule ni shobo zenu. Israel is a secular country mostly na wale dini iliyowakaa km ultra orthodox hawasapoti ushoga na kuna wengine ughaibuni hawaipendi Israel coz wanaona ni secular tu na pia kwa imani yao taifa ilo likitakiwa liwepo Messiah akirudi. Pia kumbuka nchi nyingi za Kiislamu ambazo ni secular ushoga ni halali, mf Turkey tangia Ottoman Empire 1858, Jordan and West bank( Palestine) 1951, Bahrain 1976, Kazakhstan, Albania, Kosovo, Bosnia, Iraq, Egypt etc while USA imehalalisha kila jimbo 2003, Spain 1979, Portugal 1980's uko, UK na Germany 1967 na Israel 1988, lakini bado utawasikia watu oh ughaibuni na Israel tu ndo wamehalalisha. Jaman kuhalalisha kitu only means gvt won't waste tax payers money to persecute a victimless crime; haina maana kila mtu 100% has to participate in it. Kuna vitu kibao that are legal to to buy ila cna haja so kw ushoga ni ivyo ivyo ingawa of course Ughaibuni wameanza kupromote too much na kukandamiza haki za wengine ambao hawawapendi au kulazimisha hao wenye dini za Abraham kuwakubali km sio dhambi kwa dini zao( Hao Woke people) ndio wanakiuka haki za wengine pia. Shalom.