De Capri Don
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 481
- 947
Vitabu vya Hadith vingiHADITHI IDADI: 6,245 MANENO YA MU,WAIYA ABU IBN SUFYAN...
Kitabu gani , mtumishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitabu vya Hadith vingiHADITHI IDADI: 6,245 MANENO YA MU,WAIYA ABU IBN SUFYAN...
Exception doesn't make a Rule.Watu bwana na hii ushoga hadi nimechoka; anyway by now mnajua ushoga upo kw kila jamii regardless of its causes and tofauti ya jamii ni kati ya wale waliokubali na kuwaheshimu na kuwaruhusu waishi maisha yao bila kujificha na wengine wanaowakwaza kisheria na kijamii either way gays wapo kote full stop. Kuhusu Wayahudi ni shobo za watu ya kuwaita watakatifu wao hawajawahi kusema ni malaika wanajua kila kitu au waabudiwe in fact kw dini yao Judaism which isn't a missionary religion wanasema wamechaguliwa wao kuwa na covenant na Mungu na kuwapa muongozo fulani kuiongoza dunia ya Gentiles( non Jews) lakini kumbuka hawaamini Yesu au Messiah alishakuja km Wakristo so izo ni shobo za wakristo dhidi ya Jews not vice versa. Judaism km Ukristo na Uislamu wote ndio wanakataza ushoga lakini ushoga ulikuwepo tangu enzi izo ndo maana unatajwa so nothing new. Pia dunia yote hai revolve na Mungu wa Abraham kuna dini nyingi ambazo hazina shida na ushoga. Hinduism ni polytheism na wana miungu kibao na hamna specific restriction na hata km ipo kuna miungu milioni 33 so kuna wengine hawana shida😂Budhism pia haipo clear, kuna dini nyingi za enzi ya Roman Empire pia hawakupagawa na ushoga na ulikuwa tolerated sana hata kw kipindi cha awali za utawala wa Uislamu. Pia China kun dini ya Taioism ambayo kuna Mungu shoga wanaomuabudu😂😂😂 so sio dini zote wamekataa ushoga au kutaka watengwe. So iyo Israel na taifa teule ni shobo zenu. Israel is a secular country mostly na wale dini iliyowakaa km ultra orthodox hawasapoti ushoga na kuna wengine ughaibuni hawaipendi Israel coz wanaona ni secular tu na pia kwa imani yao taifa ilo likitakiwa liwepo Messiah akirudi. Pia kumbuka nchi nyingi za Kiislamu ambazo ni secular ushoga ni halali, mf Turkey tangia Ottoman Empire 1858, Jordan and West bank( Palestine) 1951, Bahrain 1976, Kazakhstan, Albania, Kosovo, Bosnia, Iraq, Egypt etc while USA imehalalisha kila jimbo 2003, Spain 1979, Portugal 1980's uko, UK na Germany 1967
Nimebisha kwa sio katazo? Nimesema tu dunia yote hairevolve kw dini izo zenu either way kila mtu mzima na akili zake timamu atajijua na mwili wake; cjaja kubishana kuhusu ushoga nishachoka; nlikuwa najibu iyo kuisingizia Israel ushoga tu utadhan Uarabuni au Africa haupo.Exception doesn't make a Rule.
Ni clear ktk Abrahamic faith ushoga ni katazo.
Na Kuna logic behind ya Hilo katazo
Kule ni kitovuNimebisha kwa sio katazo? Nimesema tu dunia yote hairevolve kw dini izo zenu either way kila mtu mzima na akili zake timamu atajijua na mwili wake; cjaja kubishana kuhusu ushoga nishachoka; nlikuwa najibu iyo kuisingizia Israel ushoga tu utadhan Uarabuni au Africa haupo.
Hata tanzania ushoga upo anachoongelea nchi kuhalalisha ushoga halafu unasahau maneno mnayoongea kila siku humu kuwa hao ni wateule wa mungu saa hz tena unatuambia wa israel ni watu tu km watu wengine inaamana wa israel kama mimi tu wa kwa mtogole uteule na utakatifu umewavua.Nioneshe nchi moja ambayo dhambi hii haifanyiki,wa Israeli ni wanadamu kama wanadamu wengine wa huko uarabuni na ulaya wanaofanya dhambi mbaya ya ushoga, usitufanye wengine hatujui kinachoendelea nchi zingine.
Basi tunaongea lugha Moja mkuu.Nimebisha kwa sio katazo? Nimesema tu dunia yote hairevolve kw dini izo zenu either way kila mtu mzima na akili zake timamu atajijua na mwili wake; cjaja kubishana kuhusu ushoga nishachoka; nlikuwa najibu iyo kuisingizia Israel ushoga tu utadhan Uarabuni au Africa haupo.
Nimeamini wa Israel hawa si Original hawa ni planted kuna Documentary moja inaelezea waisrael original ni wa Afrika.....ukiona kabila lolote afrika wanafuga ng'ombe mbuzi na kondoo....hiyo ndiyo utambulisho wao.Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.
Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"𝑼𝒔𝒊𝒍𝒂𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒚𝒆𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆, 𝒉𝒂𝒚𝒐 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒖𝒌𝒊𝒛𝒐."
Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"𝑴𝒕𝒖 𝒂𝒌𝒊𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒎𝒆𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆, 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒘𝒂𝒘𝒊𝒍𝒊 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒖𝒌𝒊𝒛𝒐, 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒑𝒂𝒔𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒖𝒂𝒘𝒂, 𝒅𝒂𝒎𝒖 𝒚𝒂𝒐 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒋𝒖𝒖 𝒚𝒂𝒐 𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒘𝒆."
( Mambo ya Walawi 20:13)
Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.
Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.
Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.
Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.
Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.
Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."
Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.
Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.
Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.
Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.
Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.
Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.
𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗮𝗴𝗮𝗷𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶
Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.
Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.
Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.
Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.
𝗨𝗹𝗶𝗻𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗳𝗮𝗺𝗶𝗹𝗶𝗮 𝘇𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮
Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:
𝗞𝘂𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.
𝗨𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮 𝘆𝗮 𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.
𝗛𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗝𝗮𝗺𝗶𝗶: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.
𝗨𝗿𝗶𝘁𝗵𝗶: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.
𝗠𝗮𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶
1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael
𝗥𝗲𝗸𝗼𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶
1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa
1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.
1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.
1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.
1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.
1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.
2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.
2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.
2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.
2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.
2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.
2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.
2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.
2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.
Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.
Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:
"𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒃𝒂𝒔𝒊, 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒌𝒊𝒕𝒊𝒊 𝒔𝒂𝒖𝒕𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒍𝒊𝒔𝒉𝒊𝒌𝒂 𝒂𝒈𝒂𝒏𝒐 𝒍𝒂𝒏𝒈𝒖, 𝒎𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂𝒕𝒆𝒖𝒍𝒆 𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒂𝒊𝒇𝒂 𝒚𝒐𝒕𝒆, 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒅𝒖𝒏𝒊𝒂 𝒚𝒐𝒕𝒆 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖. 𝑴𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒖𝒇𝒂𝒍𝒎𝒆 𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒌𝒖𝒉𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒕𝒂𝒊𝒇𝒂 𝒕𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊𝒇𝒖.' 𝑯𝒂𝒚𝒐 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒂𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒖𝒕𝒂𝒌𝒂𝒚𝒐𝒘𝒂𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝑾𝒂𝒊𝒔𝒓𝒂𝒆𝒍𝒊.”
(Kutoka 19:5-6)
Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.
Rejea:
•Wikipedia
•Gay Israel
•Jerusalem Post
•OUT
Kuna watu watakupinga mkuu kwa ukweli huuNimeamini wa Israel hawa si Original hawa ni planted kuna Documentary moja inaelezea waisrael original ni wa Afrika
Wana wa israel si walitoka egypt au hapo nini kigumuu...!! Sema hawakua weusiii[emoji1787]Nimeamini wa Israel hawa si Original hawa ni planted kuna Documentary moja inaelezea waisrael original ni wa Afrika.....ukiona kabila lolote afrika wanafuga ng'ombe mbuzi na kondoo....hiyo ndiyo utambulisho wao.
Lini me nimesema Wayahudi wateule wa kitu chochote??😳😳😳 Hao ni bogus Christians wenu wa Bongo au US uko; me nimeapproach mada km ilivyo; plus wayahudi wengi duniani km wayahudi wa Israel are atheists au non religious wanafuata vitu vichache sana kw Torah km wakristo wa Ulaya; so obviously majority hawajioni ni chosen people by God km majority are atheistsHata tanzania ushoga upo anachoongelea nchi kuhalalisha ushoga halafu unasahau maneno mnayoongea kila siku humu kuwa hao ni wateule wa mungu saa hz tena unatuambia wa israel ni watu tu km watu wengine inaamana wa israel kama mimi tu wa kwa mtogole uteule na utakatifu umewavua.
Sasa tuanzishie mada ya ushoga kwa nchi za kiarabu, huku ukutumia mifano kifani kutoka maeneo kama Zanzibar na Mombasa.Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.
Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"𝑼𝒔𝒊𝒍𝒂𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒚𝒆𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆, 𝒉𝒂𝒚𝒐 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒖𝒌𝒊𝒛𝒐."
Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"𝑴𝒕𝒖 𝒂𝒌𝒊𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒎𝒆𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆, 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒘𝒂𝒘𝒊𝒍𝒊 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒖𝒌𝒊𝒛𝒐, 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒑𝒂𝒔𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒖𝒂𝒘𝒂, 𝒅𝒂𝒎𝒖 𝒚𝒂𝒐 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒋𝒖𝒖 𝒚𝒂𝒐 𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒘𝒆."
( Mambo ya Walawi 20:13)
Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.
Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.
Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.
Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.
Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.
Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."
Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.
Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.
Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.
Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.
Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.
Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.
𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗮𝗴𝗮𝗷𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶
Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.
Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.
Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.
Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.
𝗨𝗹𝗶𝗻𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗳𝗮𝗺𝗶𝗹𝗶𝗮 𝘇𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮
Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:
𝗞𝘂𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.
𝗨𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮 𝘆𝗮 𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.
𝗛𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗝𝗮𝗺𝗶𝗶: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.
𝗨𝗿𝗶𝘁𝗵𝗶: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.
𝗠𝗮𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶
1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael
𝗥𝗲𝗸𝗼𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶
1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa
1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.
1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.
1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.
1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.
1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.
2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.
2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.
2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.
2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.
2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.
2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.
2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.
2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.
Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.
Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:
"𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒃𝒂𝒔𝒊, 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒌𝒊𝒕𝒊𝒊 𝒔𝒂𝒖𝒕𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒍𝒊𝒔𝒉𝒊𝒌𝒂 𝒂𝒈𝒂𝒏𝒐 𝒍𝒂𝒏𝒈𝒖, 𝒎𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂𝒕𝒆𝒖𝒍𝒆 𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒂𝒊𝒇𝒂 𝒚𝒐𝒕𝒆, 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒅𝒖𝒏𝒊𝒂 𝒚𝒐𝒕𝒆 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖. 𝑴𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒖𝒇𝒂𝒍𝒎𝒆 𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒌𝒖𝒉𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒕𝒂𝒊𝒇𝒂 𝒕𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊𝒇𝒖.' 𝑯𝒂𝒚𝒐 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒂𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒖𝒕𝒂𝒌𝒂𝒚𝒐𝒘𝒂𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝑾𝒂𝒊𝒔𝒓𝒂𝒆𝒍𝒊.”
(Kutoka 19:5-6)
Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.
Rejea:
•Wikipedia
•Gay Israel
•Jerusalem Post
•OUT
Mke wa Musa alikuwa Mweupe?Wana wa israel si walitoka egypt au hapo nini kigumuu...!! Sema hawakua weusiii[emoji1787]
Tupo tumejaa tele,haya mambo yapo pia Zanzibar ushoga umekithiri na ni Nchi ya watu 95% wa Iman moja bila kuwasahau ndugu zao wa Mombasa.UMEUA.hauwezi kuwaona hapa
Na mwenzake Shujaa Mwendazake kila baada ya dk 10 anabandika Uzi kwa akili zao wanajua ndiyo wanapigana vita kule Gaza kupitia JF.Hawa waisiraeli watakuumisa kichwa yelo