Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga katika taifa la Israeli

Hata wakatoliki wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha biblia takatifu iliyowapa watoto wa yakobo hadhi hiyo

Usituhusishe na Imani yako, wapi katika maombi au Sara au mafundisho ya wakatoliki tunawaabudu na kuwasifia waisrael., Eti usipo waombea waisrael huwezi kufanikiwa upuuzi mtupu
 
wayahudi hawa ni feki wanalindwa na U.S,wayahudi taifa teule la mungu og sio mashoga awatifuani vinyesi kama hawa wenu.
Upo sahii kabisa mkuu wanajeshi wa US ndio wanavaa sare za kijeshi za IDF na kupigana na waarabu.Wayahudi orijino ni waarabu na ni kweli kabisa waarabu hawatifuani vinyesi kama waarabu wa Dubai na Doha.
NB: Upo sahii kabisa wayahudi orijini ni waarabu wafuasi wa mtume muhamadi wanaozungumza kiarabu na wanaomuabudu Mungu wa waislamu na waarabu aitwae Allah.
 
Usituhusishe na Imani yako, wapi katika maombi au Sara au mafundisho ya wakatoliki tunawaabudu na kuwasifia waisrael., Eti usipo waombea waisrael huwezi kufanikiwa upuuzi mtupu
Sisi wakatoliki waafidhina wa Vatican na macrusider,s tunatumia biblia inayosifia wayahudi.
Sijui nyie mnatumia biblia gani
 
Upo sahii kabisa mkuu wanajeshi wa US ndio wanavaa sare za kijeshi za IDF na kupigana na waarabu.Wayahudi orijino ni waarabu na ni kweli kabisa waarabu hawatifuani vinyesi kama waarabu wa Dubai na Doha.
NB: Upo sahii kabisa wayahudi orijini ni waarabu wafuasi wa mtume muhamadi wanaozungumza kiarabu na wanaomuabudu Mungu wa waislamu na waarabu aitwae Allah.
Bado ujasema ni mpaka useme.
 
Israel ni taifa lililojengwa kwa wahamiaji toka Ulaya na sehemu zingine za dunia, bahati mbaya sana, wengi wao wameishi nchi za magharibi, wana miji huko na familia zingine huko hivyo utamaduni wao ni wa magharibi 100%. Biblia inakataza ushoga, ni dhambi na chukizo, Torah ambayo ni agano la kale kwenye Biblia ambayo wao wanafuata, inakataza. hivyo ukiona myahudi mmoja amefanya ushoga, haimaanishi kwamba waisrael wote ni mashoga au labda kama dini yao ya Kiyahudi inaruhusu. ni watu binafsi kama wengi tu walivyo Tanzania, uarabuni na kwengine. Tanzania pia tumeshuhudia issue nyingi za mashoga, kuna parties kibao za mashoga dar es salaam. uarabuni ndio wanakula tigo kuliko chochote ndio maana wanawake wao wengi hawana rinda (waarabu). kwahiyo uwepo wa mashoga Israel haimaaishi kwamba wao ndio mashoga kuliko wengine duniani, ni wanadamu walewale kama walivyo wengine duniani.
N
Nimependa maelezo yako, ingawa pia umejaribu kuhusisha mataifa mengine ambayo hakuna anayoyabudu, kama taifa teule lilitakiwa liuoneshe huo uteule Kwa matendo Ili wale walokole wanaoishobokea Israel waonekane wako sahihi, lakini Kwa sasa hakuna taifa teule Wala takatiful pale. Uteule wake ungeonekana Kwa kushika dini kikamilifu.
 
N
Nimependa maelezo yako, ingawa pia umejaribu kuhusisha mataifa mengine ambayo hakuna anayoyabudu, kama taifa teule lilitakiwa liuoneshe huo uteule Kwa matendo Ili wale walokole wanaoishobokea Israel waonekane wako sahihi, lakini Kwa sasa hakuna taifa teule Wala takatiful pale. Uteule wake ungeonekana Kwa kushika dini kikamilifu.
waisrael kuwa na taifa teule, haimaanishi kwamba wao ni malaika. tangu enzi, wamekuwa wakimkosea Mungu na Mungu amekuwa akiwaadhibu sana.
 
Suala la ushoga lipo kila nchi duniani, sema tu mataifa mengine hayajaidhinisha waziwazi. Hata nchi za kiislam na kiarabu ushoga upo wa kutosha, tena ipo siku wataridhia kwa kupenda au kutokupenda as long as wameishaanza kuruhusu michezo ya kimataifa kufanyika katika nchi zao. Ya israel ushoga kuwepo si ajabu kwa kuwa ina mafungamano makubwa na nchi za magharibi na ushoga upo tangu kale zama za sodoma na gomora
 
Kukengeuka Kwa waisrael hakuwafanyi kutokua taifa la Mungu....je wewe mwanao akikengeuka na kuwa mkaidi utamtenga na kusema huyu sio mwanangu?????.....au mwanao akikengeuka ndo atakua sio mwanao Tena???......pia wapo wakengeukaji kuliko waisrael lakini still bado Mungu anawafadhiliii
Mungu anajua waliowake kwa kutumia matendo yao.huwezi kutumikia mabwana wawili.unakuwaje mwana wa Mungu wakati humuabudu Mungu?alafu mataifa yote yametengenezwa na Mungu.
 
Kwa hyo unatetea ushoga?
Nimesema huu ushoga hata Zanzibar na Mombasa kote umekithiri na kote huko wakaazi wake 95% ni wa Islam.Ukiwa unaiongelea Israel ukumbuke pia hilo tatizo hata hapa kwetu lipo.
 
Ukisoma maandiko miongoni mwa majina aliyoitwa Mungu kwenye biblia ni "Mungu wa Israeli" hili ni taifa la Mungu watoto wa Mungu hata Hilo jina la Israel limetokana na Yakobo pale aliposhindana na malaika ambariki Yakobo akaambiwa hutaitwa Yakobo Bali Israel.....Israel now wamekengeuka na kuwa wakaidi lakini Io haiondoi uhalali wao kama Taifa la Mungu ....

Hata Nyerere akitajwa na Makongoro ataitwa baba yao, hii haimaanishi anawahusu wao tu hata sisi wengine tuna mwita baba wa Taifa, Kwa hiyo ni baba yetu.na Makongoro akikengeuka tunasema Makongoro kakeunga. Na Mungu hajasema kuwa ilimuende mbinguni basi mpitie Kwa wasraeli
 
H
Mungu wa wayahudi na wakrsto aitwae ADONAI AMEZAA NA ANA MTOTO AITWAE MASIHI.
MUNGU WA WAISLAMU NA WAARABU AITWAE ALLAH NI BACHELA HAJAZAA WALA HANA MTOTO.
NB: HAYO NI MAPOKEO YA DINI ZAO WAISLAMU NA WAYAHUDI NA WAKRISTO

Harafu Mungu wa wakristo sio Mungu wa waisrael, wao hawamtambui ACHA kujipendekeza
 
Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.

Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"𝑼𝒔𝒊𝒍𝒂𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒚𝒆𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆, 𝒉𝒂𝒚𝒐 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒖𝒌𝒊𝒛𝒐."

Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"𝑴𝒕𝒖 𝒂𝒌𝒊𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒎𝒆𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆, 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒘𝒂𝒘𝒊𝒍𝒊 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒖𝒌𝒊𝒛𝒐, 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒑𝒂𝒔𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒖𝒂𝒘𝒂, 𝒅𝒂𝒎𝒖 𝒚𝒂𝒐 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒋𝒖𝒖 𝒚𝒂𝒐 𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒘𝒆."
( Mambo ya Walawi 20:13)

Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.

Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.

Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.

Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.

Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.

Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."

Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.

Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.

Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.

Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.

Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.

Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.

𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗮𝗴𝗮𝗷𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶

Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.

Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.

Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.

Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.

𝗨𝗹𝗶𝗻𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗳𝗮𝗺𝗶𝗹𝗶𝗮 𝘇𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮

Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:

𝗞𝘂𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.

𝗨𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮 𝘆𝗮 𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.

𝗛𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗝𝗮𝗺𝗶𝗶: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.

𝗨𝗿𝗶𝘁𝗵𝗶: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.

𝗠𝗮𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶

1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael

𝗥𝗲𝗸𝗼𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶

1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa

1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.

1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.

1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.

1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.

1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.

2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.

2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.

2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.

2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.

2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.

2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.

2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.

2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.

Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.

Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:

"𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒃𝒂𝒔𝒊, 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒌𝒊𝒕𝒊𝒊 𝒔𝒂𝒖𝒕𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒍𝒊𝒔𝒉𝒊𝒌𝒂 𝒂𝒈𝒂𝒏𝒐 𝒍𝒂𝒏𝒈𝒖, 𝒎𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂𝒕𝒆𝒖𝒍𝒆 𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒂𝒊𝒇𝒂 𝒚𝒐𝒕𝒆, 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒅𝒖𝒏𝒊𝒂 𝒚𝒐𝒕𝒆 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖. 𝑴𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒖𝒇𝒂𝒍𝒎𝒆 𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒌𝒖𝒉𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒕𝒂𝒊𝒇𝒂 𝒕𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊𝒇𝒖.' 𝑯𝒂𝒚𝒐 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒂𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒖𝒕𝒂𝒌𝒂𝒚𝒐𝒘𝒂𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝑾𝒂𝒊𝒔𝒓𝒂𝒆𝒍𝒊.”
(Kutoka 19:5-6)

Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.

Rejea:
•Wikipedia
•Gay Israel
•Jerusalem Post
•OUT
Dhambi haina utaifa wala kabila. Dhambi ni ya binadamu. Unaweza kuiandika Israel ambayo hata kukanyaga hujawahi huku ukiacha watu wa ukoo wako wenye tabia hizohizo.
 
,
Screenshot_20231016_161133_X.jpg
 
H

Harafu Mungu wa wakristo sio Mungu wa waisrael, wao hawamtambui ACHA kujipendekeza
Mkuu huwezi kuutenganisha ukrsto na uyahudi.Sababu mungu wa wayahudi aitwae YEHOVA ndio Mungu wa wakrsto.
Na wakrsto wanatumia torati ya wayahudi na waanzilishi wa ukristo akina petro walikua wayahudi.
Allah ni mungu wa waarabu na waislamu na hafanani kabisa na YEHOVA Mungu wa wayahudi na Wakrsto.
 
Hata Nyerere akitajwa na Makongoro ataitwa baba yao, hii haimaanishi anawahusu wao tu hata sisi wengine tuna mwita baba wa Taifa, Kwa hiyo ni baba yetu.na Makongoro akikengeuka tunasema Makongoro kakeunga. Na Mungu hajasema kuwa ilimuende mbinguni basi mpitie Kwa wasraeli
Mungu wao aitwae ADONAI kasema lakini mungu wako aitwae allah hajasema.
Wao wamepewa mpaka jina la YESU na huwezi kubadili mapokeo yao ya kuufuata uyahudi ili waafuate uarabu!!
 
Back
Top Bottom