Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga katika taifa la Israeli

Dhambi kubwa Zanzbar ni ubasha na ulawiti na hii tabia ililetwa na wakoloni wa kutokea Oman.Sijui maalim na hili anaweza kulitizama

Huko kwa nduguze katika imani hawezi kupagusa kwa sababu wamekaririshwa kwamba waarabu ni vijukuu wa mtume.

By the way siungi mkono Ushoga wa Israeli maana ni chukizo mbele za Mungu
 
Sio kweli kwamba wakristo wote tunaamini kuwa wasraeli ni wateule, ni walokole tu. Sisi wakatoliki tunaheshimu na kutambua historia yao na kwamba Yesu alizaliwa kwao. kwetu sisi Kila mkristo anyefuata mafundisho ya kristo na kuyaishi ni mteule wa Mungu, Mungu wetu hana ubaguzi hana upendeleo hana taifa
Hata wakatoliki wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha biblia takatifu iliyowapa watoto wa yakobo hadhi hiyo
 
Hivi mzee hitler alikuwa akiwaua wayahudi kwa sababu kuu zipi hasa,kwani jamaa alikuwa na chuki nao sana kama vile walimchukulia mkewe[emoji3][emoji3]
 
Maalim....[emoji16][emoji16][emoji16]

Nikiri tu sijasoma yote. Nimesoma tu title halafu nikasoma na jina la mwandishi basi nikaishia hapo!
Watanzania wengi mko hivyo uvivu wa kujisomea maana kama hivi unakiri hujasoma na bado uka comment. Dah, kazi kwelikweli.
 
Nioneshe nchi moja ambayo dhambi hii haifanyiki,wa Israeli ni wanadamu kama wanadamu wengine wa huko uarabuni na ulaya wanaofanya dhambi mbaya ya ushoga, usitufanye wengine hatujui kinachoendelea nchi zingine.
Tofauti na mataifa mengine Israel anajinasibu kwamba ni Taifa teule.
 
Yeah dadangu kwa wakrsto wayahudi ni wabarikiwa na ni watoto wa taifa la Mungu wao aitwae ADONAI na kwa waislamu wayahudi ni watu waliolaaniwa na watumwa na vijakazi wa waarabu na Mungu wao ALLAH amewalaani.
Wewe kwa akili yako taifa teule linakuwa na vitendo vya machukizo kwa Mungu kila uchwao?

Sometimes jaribu kufungua ubongo wako ukiwa free bila kushikiwa akili na mchungaji ama padri.
 
Wewe kwa akili yako taifa teule linakuwa na vitendo vya machukizo kwa Mungu kila uchwao?

Sometimes jaribu kufungua ubongo wako ukiwa free bila kushikiwa akili na mchungaji ama padri.
Mkuu sio maneno yangu bali maneno ya kitabu cha muongozo wa wakrsto duniani kinaitwa Biblia na Mungu wao aitwae Adonai
 
Hivi mzee hitler alikuwa akiwaua wayahudi kwa sababu kuu zipi hasa,kwani jamaa alikuwa na chuki nao sana kama vile walimchukulia mkewe[emoji3][emoji3]
Walikuwa wanaandika vitabu vya porn na kuuzia wajerumani na mikopo ya riba .
Mzee hakupenda,akaona Bora iwe mbwai na kuanza kuchoma wao.
 
Watu bwana na hii ushoga hadi nimechoka; anyway by now mnajua ushoga upo kw kila jamii regardless of its causes and tofauti ya jamii ni kati ya wale waliokubali na kuwaheshimu na kuwaruhusu waishi maisha yao bila kujificha na wengine wanaowakwaza kisheria na kijamii either way gays wapo kote full stop. Kuhusu Wayahudi ni shobo za watu ya kuwaita watakatifu wao hawajawahi kusema ni malaika wanajua kila kitu au waabudiwe in fact kw dini yao Judaism which isn't a missionary religion wanasema wamechaguliwa wao kuwa na covenant na Mungu na kuwapa muongozo fulani kuiongoza dunia ya Gentiles( non Jews) lakini kumbuka hawaamini Yesu au Messiah alishakuja km Wakristo so izo ni shobo za wakristo dhidi ya Jews not vice versa. Judaism km Ukristo na Uislamu wote ndio wanakataza ushoga lakini ushoga ulikuwepo tangu enzi izo ndo maana unatajwa so nothing new. Pia dunia yote hai revolve na Mungu wa Abraham kuna dini nyingi ambazo hazina shida na ushoga. Hinduism ni polytheism na wana miungu kibao na hamna specific restriction na hata km ipo kuna miungu milioni 33 so kuna wengine hawana shida😂Budhism pia haipo clear, kuna dini nyingi za enzi ya Roman Empire pia hawakupagawa na ushoga na ulikuwa tolerated sana hata kw kipindi cha awali za utawala wa Uislamu. Pia China kun dini ya Taioism ambayo kuna Mungu shoga wanaomuabudu😂😂😂 so sio dini zote wamekataa ushoga au kutaka watengwe. So iyo Israel na taifa teule ni shobo zenu. Israel is a secular country mostly na wale dini iliyowakaa km ultra orthodox hawasapoti ushoga na kuna wengine ughaibuni hawaipendi Israel coz wanaona ni secular tu na pia kwa imani yao taifa ilo likitakiwa liwepo Messiah akirudi. Pia kumbuka nchi nyingi za Kiislamu ambazo ni secular ushoga ni halali, mf Turkey tangia Ottoman Empire 1858, Jordan and West bank( Palestine) 1951, Bahrain 1976, Kazakhstan, Albania, Kosovo, Bosnia, Iraq, Egypt etc while USA imehalalisha kila jimbo 2003, Spain 1979, Portugal 1980's uko, UK na Germany 1967 na Israel 1988, lakini bado utawasikia watu oh ughaibuni na Israel tu ndo wamehalalisha. Jaman kuhalalisha kitu only means gvt won't waste tax payers money to persecute a victimless crime; haina maana kila mtu 100% has to participate in it. Kuna vitu kibao that are legal to to buy ila cna haja so kw ushoga ni ivyo ivyo ingawa of course Ughaibuni wameanza kupromote too much na kukandamiza haki za wengine ambao hawawapendi au kulazimisha hao wenye dini za Abraham kuwakubali km sio dhambi kwa dini zao( Hao Woke people) ndio wanakiuka haki za wengine pia. Shalom.
 
Back
Top Bottom