Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.

Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"𝑼𝒔𝒊𝒍𝒂𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒚𝒆𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆, 𝒉𝒂𝒚𝒐 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒖𝒌𝒊𝒛𝒐."

Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"𝑴𝒕𝒖 𝒂𝒌𝒊𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒎𝒆𝒍𝒂𝒍𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆, 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒘𝒂𝒘𝒊𝒍𝒊 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒖𝒌𝒊𝒛𝒐, 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒑𝒂𝒔𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒖𝒂𝒘𝒂, 𝒅𝒂𝒎𝒖 𝒚𝒂𝒐 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒋𝒖𝒖 𝒚𝒂𝒐 𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒘𝒆."
( Mambo ya Walawi 20:13)

Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.

Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.

Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.

Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.

Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.

Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."

Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.

Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.

Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.

Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.

Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.

Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.

𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗮𝗴𝗮𝗷𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶

Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.

Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.

Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.

Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.

𝗨𝗹𝗶𝗻𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗳𝗮𝗺𝗶𝗹𝗶𝗮 𝘇𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮

Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:

𝗞𝘂𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.

𝗨𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮 𝘆𝗮 𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.

𝗛𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗝𝗮𝗺𝗶𝗶: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.

𝗨𝗿𝗶𝘁𝗵𝗶: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.

𝗠𝗮𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶

1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael

𝗥𝗲𝗸𝗼𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗼𝗴𝗮 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶

1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa

1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.

1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.

1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.

1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.

1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.

2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.

2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.

2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.

2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.

2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.

2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.

2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.

2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.

Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.

Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:

"𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒃𝒂𝒔𝒊, 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒌𝒊𝒕𝒊𝒊 𝒔𝒂𝒖𝒕𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒍𝒊𝒔𝒉𝒊𝒌𝒂 𝒂𝒈𝒂𝒏𝒐 𝒍𝒂𝒏𝒈𝒖, 𝒎𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂𝒕𝒆𝒖𝒍𝒆 𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒂𝒊𝒇𝒂 𝒚𝒐𝒕𝒆, 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒅𝒖𝒏𝒊𝒂 𝒚𝒐𝒕𝒆 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖. 𝑴𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒖𝒇𝒂𝒍𝒎𝒆 𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒌𝒖𝒉𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒕𝒂𝒊𝒇𝒂 𝒕𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊𝒇𝒖.' 𝑯𝒂𝒚𝒐 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒂𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒖𝒕𝒂𝒌𝒂𝒚𝒐𝒘𝒂𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝑾𝒂𝒊𝒔𝒓𝒂𝒆𝒍𝒊.”
(Kutoka 19:5-6)

Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.

Rejea:
•Wikipedia
•Gay Israel
•Jerusalem Post
•OUT
Wenzako hao
JamiiForums1977886362_682x450.jpg

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Bado unatetea ushoga.kwanini ulinganishe?
Nalinganisha kwa sababu zifuatazo.
Maalim anasema mashoga na mabasha duniani ni wayahudi pekee.
Nikawa namkumbusha kua wayahudi wamewaiga waarabu ambao ndio waanzilishi wa ushoga duniani na wakausambaza kwa wagiriki na warumi na waajemi na nikamwambia asome adithi idadi:6,245 ya Mu'waiya Abu ibn Sufyan aone tabia za waarabu pia
 
Nalinganisha kwa sababu zifuatazo.
Maalim anasema mashoga na mabasha duniani ni wayahudi pekee.
Nikawa namkumbusha kua wayahudi wamewaiga waarabu ambao ndio waanzilishi wa ushoga duniani na wakausambaza kwa wagiriki na warumi na waajemi na nikamwamnia asome adithi idadi:6,245 ya Mu'waiya Abu ibn Sufyan aone tabia za waarabu pia
Idadi ya mashoga ya israel na zanzibar ni sawa?ni tajie chama kimoja cha mashoga kilichopo zanzibar?
 
Na kwanini walioiga ushoga wamekuwa ndo walimu kuliko waliouanzisha?

Alafu ushoga haujaanza kwa waarabu.walianzisha ni watu wa nabii ruti wa Sodoma na gomorrah. Weka kumbu kumbu sawa.
 
Ninyi walimu wa madrasa mnalawiti na kubaka sana vitoto vidogo sijui ndio Allah kawafundisha hivyo??
 
Nalinganisha kwa sababu zifuatazo.
Maalim anasema mashoga na mabasha duniani ni wayahudi pekee.
Nikawa namkumbusha kua wayahudi wamewaiga waarabu ambao ndio waanzilishi wa ushoga duniani na wakausambaza kwa wagiriki na warumi na waajemi na nikamwamnia asome adithi idadi:6,245 ya Mu'waiya Abu ibn Sufyan aone tabia za waarabu pia
Duuh
 
Ukiacha mambo ya ushabiki wa dini...hayo uliyosema ni kweli...
Report zinaitaja Israeli kama the most gay friend in the world
 
Idadi ya mashoga ya israel na zanzibar ni sawa?ni tajie chama kimoja cha mashoga kilichopo zanzibar?
Mkuu tukitolea mfano Zanzibar yenya wakazi karibia laki nane na ushee hivi ushoga na ubasha ni tamaduni iliyoenezwa na waarabu wa kutoka Oman
Karibia asilimia 97% ya vijana wa zanzbar ni mabasha na mashoga.
Na wanawake wa huko wewe mwenyewe unajua wanachopenda hasa kisiwa cha pemba.
NB: Sio maneno yangu hata mwandishi wa habari chotara wa kiarabu aliyeshinda tuzo ya Nobel kwa uandishi wake mzee wangu ABDRAZAK GURNAH kaelezea sana tabia za wanzanzibar kwa kutumia tafsida katika kitabu chake cha MEMORY OF DEPARTURE.
 
Hyo idadi umeipa kwa utafiti upi?
 
ushoga ni miongoni mwa dhambi za zamani sana... wajuzi wa historia na geographia watuambie SODOMA NA GOMORA ilikuwa nchi gani/ asili ya race ipi kwa sasa.
Israel pamoja na kuwa TAIFA TEULE hakuna zama walikuwa watakatifu wote, kama binadamu wengine wanakosea na MUUMBA wao anawashughulikia sawa sawa na mapenzi yake, ila kinachombeba ISRAEL ni agano la Mungu kwao, ndio maana maandiko yanasema "acha ngano na magugu yakue pamoja, siku ya mavuno, ngano zitaenda ghalani na magugu yataenda kwenye ule moto wa milele".... ila Agano la Mungu kwa watu wake haiwezi kuvunjika maana alitoa agano na kizazi cha YAKOBO.
na ujue neema hyo ipo kwa dunia nzima, mashehe kadhaa na mapadri kadhaa wana tabia za ulawiti pamoja na LAANA hiyo ila bado Mungu kawaacha kwa neema tu na wanahudumu madhabahuni, kama sio neema iliyoletwa na Yesu Kristo hao wachafu wangefia palepale madhabauni.
Kwahyo swala la ushoga kwa sasa ni dunia nzima, kama AFANDE WA ZANZIBAR kaonekana hana hatia na kuachiwa huru, basi mji ule wenye sifa ya kujisitiri umechafuka kuliko huko Israel
 
Na kwanini walioiga ushoga wamekuwa ndo walimu kuliko waliouanzisha?

Alafu ushoga haujaanza kwa waarabu.walianzisha ni watu wa nabii ruti wa Sodoma na gomorrah. Weka kumbu kumbu sawa.
Mkuu hujatembea nini mashariki ya kati?
Karibia vijana wote wa saudia wameharibika ni mashoga na mabasha wameharibu wanawake wote wa huko kimaumbile.
Hiyo ya ruti ni uongo na hakuna ushahidi na kama upo basi huyo ruti ni mwarabu kama torari ya wayahudi inavyosema.
Kwa kifupi idadi ya mashoga na mabasha wa kiyahudi ni ndogo kuliko idadi ya mabasha na mashoga wa nchi za kiarabu.
Sema israel kuna uhuru ndio maana wanajionyesha waziwazi tofauti na majirani zake ambao wanajificha kujiweka adharani ila ipo wazi asilimia 69% ya vijana wa kiarabu wameharibika ni mabasha na mashoga na asilimia 96% ya wanawake wa kiarabu wanapenda vitendo hivyo
 
Kati ya serikali ya saudia na ya israel ni serikali ipi iliyohalalisha ushoga?
 
Mkuu hujatembea nini mashariki ya kati?
Karibia vijana wote wa saudia wameharibika ni mashoga na mabasha wameharibu wanawake wote wa huko kimaumbile.
Hiyo ya ruti ni uongo na hakuna ushahidi na kama upo basi huyo ruti ni mwarabu kama torari ya wayahudi inavyosema.
Kwa kifupi idadi ya mashoga na mabasha wa kiyahudi ni ndogo kuliko idadi ya mabasha na mashoga wa nchi za kiarabu.
Sema israel kuna uhuru ndio maana wanajionyesha waziwazi tofauti na majirani zake ambao wanajificha kujiweka adharani ila ipo wazi asilimia 69% ya vijana wa kiarabu wameharibika ni mabasha na mashoga na asilimia 96% ya wanawake wa kiarabu wanapenda vitendo hivyo
Uhuru wa kutatuliwa mwanaume.huo ni uhuru?
 
Na kwanini walioiga ushoga wamekuwa ndo walimu kuliko waliouanzisha?

Alafu ushoga haujaanza kwa waarabu.walianzisha ni watu wa nabii ruti wa Sodoma na gomorrah. Weka kumbu kumbu sawa.
Ila walifutwa na maji katika kipindi cha Nuhu, tena wakaja kuchomwa na moto kipindi cha baba wa Imani Ibrahim, hiyo nchi kwasasa inaitwaje vile!!!!!!!
 
Back
Top Bottom