Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga katika taifa la Israeli

Attachments

  • FB_IMG_1697248305925.jpg
    FB_IMG_1697248305925.jpg
    70.6 KB · Views: 2
Hiyo ni ngoma ya watoto hawezi kukesha ni saa 2 chali,[emoji16]
 
Dhambi haina utaifa wala kabila. Dhambi ni ya binadamu. Unaweza kuiandika Israel ambayo hata kukanyaga hujawahi huku ukiacha watu wa ukoo wako wenye tabia hizohizo.
Sheria ya taifa hilo limekubali ushoga kwahiyo ni taifa limekubali ushetani.
 
Uhuru wa kutatuliwa mwanaume.huo ni uhuru?
Ndio huo uhuru waarabu na wayahudi wanaulilia.
Mashariki ya kati ndiko kunakoongoza kwa ushoga na ubasha na ulawiti na wanawake kuingiliwa.Sasa population kubwa ya wakaazi wa mashariki ya kati ni waarabu au hujui mkuu?
 
Acha kuropoka kama huna facts.huko saudi Arabia huo ushetani ni haramu na wana sheria kali tu.
Saudi arabia ndio inaongoza kwa wananchi wake wengi kua mashoga na mabasha na karibia wanawake wote wa kule wameharibika na michezo hiyo.
Waarabu hiyo michezo kwao wanaita DAAWA.
 
Sidhani km kweli ulienda shule. Msomi hawezi kutoa tuhuma bila kuzithibitisha. Unatumia kigezo gani au sampuli gani hadi useme wananchi wa Saudi Arabia wanaongoza kwa Ushoga na Ubasha?
 
Maalim unabisha bure na nilikupa mpaka vielelezo usome kuhusu tabia za waarabu wa saudia ambao nimekaa nao na ninajua tabia zao za ushoga na ubasha na kuwaingilia wanawake kinyume.
Soma adithi idadi: 6,245 ya mu'waiya Abu ibn Sufyan utajiridhisha mwenyewe kama unahisi mimi muongo.
Na kwa wazanzbar soma kitabu cha Memory of Depature cha Msomi Abdulazak Gurnah.
 
Hizo ni tabia za watu wajinga. Kwani we unashindwa nini kuja na wordings za hiyo hadithi hadi ukopi huko Namba ya hadithi na kupesti. Halafu maudhui ya Msingi ni Ushoga katika taifa la Israeli. Nilitegemea ukanushe au uthibitishe kisomi sio kudandia uzi wangu na kuchomekea vitu ambavyo havipo. Ingekuwa kila mmoja anaweza kutoa tuhuma apendavyo na watu wakamuamini, basi waovu wangeshaingamiza dunia.
 
Mtoa post ana yake ya moyoni na hiii ni kwasababu ya chuki binafsi na yote anayo ongelea ni porojo tuuu. Kiualisia ushoga umetapaka dunia nzima akuna kusema labla ni sehem flani wala nni ukirud ata tanzania yetu maadili yanaporomoka kutkana na kutokua na nguvu ya kukemea ukisema israel tuuu si kwel na kusema kuanza kushamir aukuanzia tuu uko maeneo meng hasa usa
 
Mkuu sasa kama humjui Abdurazak Gurnah na kitabu chake cha MEMORY OF DEPATURE basi wewe sio mchambuzi wa mambo.Na kama unaikataa HADITHI IDADI:6,245 YA MU'WAIYA ABU IBN SUFYAN NA KUIITA HADITHI YAKE KUA DHAIFU BASI WEWE UNAUKATAA UKWELI NA KWA SABABU UKWELI MCHUNGU
Na kama unakataa waarabu sio mabasha na mashoga na walawiti basi wewe hujatembea mashariki ya kati.
Uliza watu waliokaa Doha na Riyadh na Dubai na Mascat na Beirut.
Bali wewe umeona wayahudi tu kwa sababu ukweli mchungu Maalim.
 
Mtoa post ana yake ya moyoni na hiii ni kwasababu ya chuki binafsi na yote anayo ongelea ni porojo tuuu. Kiualisia ushoga umetapaka dunia nzima akuna kusema labla ni sehem flani wala nni ukirud ata tanzania yetu maadili yanaporomoka kutkana na kutokua na nguvu ya kukemea ukisema israel tuuu si kwel na kusema kuanza kushamir aukuanzia tuu uko maeneo meng hasa usa
Nimempa na mifano halisi ila kakataa ukweli na kupaniki
 
Mtoa post ana yake ya moyoni na hiii ni kwasababu ya chuki binafsi na yote anayo ongelea ni porojo tuuu. Kiualisia ushoga umetapaka dunia nzima akuna kusema labla ni sehem flani wala nni ukirud ata tanzania yetu maadili yanaporomoka kutkana na kutokua na nguvu ya kukemea ukisema israel tuuu si kwel na kusema kuanza kushamir aukuanzia tuu uko maeneo meng hasa usa
Nadhani tatizo hajasafiri duniani
 
Hizo ni tabia za watu wajinga. Kwani we unashindwa nini kuja na wordings za hiyo hadithi hadi ukopi huko Namba ya hadithi na kupesti. Halafu maudhui ya Msingi ni Ushoga katika taifa la Israeli. Nilitegemea ukanushe au uthibitishe kisomi sio kudandia uzi wangu na kuchomekea vitu ambavyo havipo. Ingekuwa kila mmoja anaweza kutoa tuhuma apendavyo na watu wakamuamini, basi waovu wangeshaingamiza dunia.
Maalim usipaniki ninapowataja ndugu zako waarabu ambao ni waanzilishi wa ushoga na ubasha na ulawiti,wewe mbona umetoa tuhuma upendavyo?
Mm sijatoa tuhuma bali nimezungumzia ukweli sababu nimesafiri duniani.
 
Back
Top Bottom