Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

Neno iko hapo kwenye rangi? Kalawiti mtoto? 🤔

Nimeamua kumstiri mume wangu..sijaandika kila kitu ila baadhi yenu ni wanaume ila mngeumia sana na kutoa chozi...ndoa yetu ni ya serikali...naomba experience yenu especially kwa nyie mliokua na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya..
 
ungeeleza kilichotokea kwa uwazi naamini ungepata mawazo ya kila mtu.

ila hapa mi naona kama ni utoto unakusumbua
 
Hilo kubwa sana ni lipi ambalo ni jipya mkuu?
 
Hapa ni utoto unamsumbua.kubwa gani halielezeki? Ni kushika/kushikisha ukuta tu ndo hakuelezek..
 
Hakuna sababu yoyote ya kuongelea tukio zima kwa kina hapa JF. Humu kila mtu anaingia kusoma, na story nyingi huchukuliwa humu na kuwa shared kwenye mitandao mingine, hivyo utaishia kujivurugia mahusiano yako badala ya kutatua. Piga kimya.

Watu wazima wenye hekima zetu tumekusoma na Codes za muhimu tumezielewa, sasa tukupe tu ushauri ili usonge mbele.
 
Harufu ya malinda kufumuliwa inasikika maeneo Haya.
 
Mkuu pole sana kwa yaliyokukumba,by the way huo ndo uhalisia wa mambo huna budi kuukubali,kama ni swala la usaliti kitu kimoja tu yakupasa utambue ni kuwa MEN ARE POLYGAMOUS IN NATURE,Wengi ya wanaume hawawezi kaa na mke mmoja so wanawake wanapoingia kwenye ndoa yapasa kulijua hili ili kuepukana na stress baada ya kuujua ukweli,zaidi ya yote hakuna jipya jipya chini ya jua ,unayoyaona nakuyasikia tambua pia kuna watu yalishawakumba na waliweza kupambana nayo.

Mkuu naomba nikupe mfano huu ambao huwa napenda kuutumia kila Mara,kuna mwanamke mwezio enzi hizo nikiwa Lindi aliwahi kumfuma mmewe akiwa juu ya kufua cha binti yake wakizini ,mwanamke alipata mshituko wa moyo na kupoteza fahamu for three days ,baada ya kupona walikaa chini na kuyaongelea baadae ndoa ilisonga na hadi Leo hii wako pamoja kama mke na Mme.

Laiti hizi nyumba zetu zingekuwa na uwezo wa kuongea na kushuhudia kwa watu kile kinachofanyika ndani hakika hakuna jiwe lingebaki juu ya jiwe,hivyo yakupasa ukubaliane na ukweli wa mambo ndugu yangu.

Mwisho tambua kuwa running away from the source of the problem is not the way of solving it.hivyo kaa na mzazi mwenzako muyamalize,ukitaka ndoa isiyo kuwa na stress labda uolewe na malaika
 
Wewe chagua Hashim Rungwe kwa lishe bora
 
Ila maudhi mengine hayapimiki hata mbele za Mungu sijui mtajibu nini
Sawa Men are polygamous ila huwezi leta polygamy kwa binti yako wa kumzaa!!that is incest ht Shetani atawashangaa

Hutosheki basi chepuka na mwanamke nje ama rasimisha umuoe iheshimike
 
Umekuta anakazwa!!!!

Pole sana
Ndio maisha.😢😢😢
 
Ndo tunambembeleza bado
Ila ww unasema uzi ufutwe
Tutakua tumemsaidia kweli?.
Wanawake ni waongeaji but sio good communicators. Mleta mada anadhani narudia tena kwa sauti ANADHANI tunalijua tatizo lake ndio maana naomba ushauri. Yani anadhani tunajua.
 
Barikiwa ndugu kwa kunielewa
 

Pole sana mamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…