Mkuu pole sana kwa yaliyokukumba,by the way huo ndo uhalisia wa mambo huna budi kuukubali,kama ni swala la usaliti kitu kimoja tu yakupasa utambue ni kuwa MEN ARE POLYGAMOUS IN NATURE,Wengi ya wanaume hawawezi kaa na mke mmoja so wanawake wanapoingia kwenye ndoa yapasa kulijua hili ili kuepukana na stress baada ya kuujua ukweli,zaidi ya yote hakuna jipya jipya chini ya jua ,unayoyaona nakuyasikia tambua pia kuna watu yalishawakumba na waliweza kupambana nayo.
Mkuu naomba nikupe mfano huu ambao huwa napenda kuutumia kila Mara,kuna mwanamke mwezio enzi hizo nikiwa Lindi aliwahi kumfuma mmewe akiwa juu ya kufua cha binti yake wakizini ,mwanamke alipata mshituko wa moyo na kupoteza fahamu for three days ,baada ya kupona walikaa chini na kuyaongelea baadae ndoa ilisonga na hadi Leo hii wako pamoja kama mke na Mme.
Laiti hizi nyumba zetu zingekuwa na uwezo wa kuongea na kushuhudia kwa watu kile kinachofanyika ndani hakika hakuna jiwe lingebaki juu ya jiwe,hivyo yakupasa ukubaliane na ukweli wa mambo ndugu yangu.
Mwisho tambua kuwa running away from the source of the problem is not the way of solving it.hivyo kaa na mzazi mwenzako muyamalize,ukitaka ndoa isiyo kuwa na stress labda uolewe na malaika