Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

โ˜บ๏ธIwe kweli ndugu yangu!
We subiri mualiko rasmi, kule kwenye thread yangu ya ndoa, si tarehe ya ndoa inaonekana, basi na siku ya anniversary itakuwa tareh hiyo hiyo, andaa tumbo kula, andaa ngwasuma hizo kucheza muziki. ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚
 
Kuna mmoja ni mgonjwa na sasa hivi yuko kwenye kitengo..aliokota manzi humu nikamkanya..akasuma steki kimya kimya akaona anafaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ